Naamini CDM ina viongozi makini kumhandle Millya akianza mapepe yake. Kama wameweza kum contain ZK na SM nini Millya bwana.....
Viongozi na wanachama wa CDM waliokuwa wanatumika na EL wana hofu sana katika kipindi hiki cha mpito maana hawajui kama Millya ataamua kutoa siri jinsi walivyokuwa wanapanga kuhujumu CDM kuanzia uchaguzi wa Arusha mjini, kujiuzulu madiwani hadi uchaguzi wa Arumeru Mashariki
Usishangae viongozi wa CDM ambao walikuwa wanatoka kivyao kivyao na kutokuwa loyal kwa chama, sasa wakitoa kauli na matendo ya kuonyesha wako pamoja na chama saaaaaaaaaaaaaana..
Kambi ya Mwakyembe, SIta & CO wameshtushwa sana na hili tukio. Maana CDM ilikuwa ni ''fallback plan'' incase mambo yakienda hovyo CCM, sasa kijana katangulia, je mzee mwenyewe ataenda...mbona atakuwa amewawahi sana. Ina maana leo hata wakipigwa chini CCM wataenda CDM kukutana na Lowasa au Millya? ukizingatia CCJ haipo tena. Juzi kati Mwakyembe kasema atawatumikia wanakyela hata kama hatakuwa CCM- wapi zaidi ya CDM
Wapambe wa Lowasa waliokuwa wanaponda CDM kama hawana akili zao nao wanajiharishia- maana hawajui kama mzeee naye atatinga huko- watapeleka wapi sura zao
Kambi ya Nape & CO wao wana hofu jamaa akienda CDM na nguvu alizonanazo 2015 CCM haitoki... na wao watapeleka wapi sura zao, maana ni obvious hawataweza kwenda CDM amabko tayari EL na kijana wake watakuwa huko
Hongera Millya siasa ni kusoma nyakati na mazingira na kufanya maamuzi kulingana na hali ya wakati huo........CDM tambueni hamuwezi kuchukua nchi peke yenu lazima kuungana na watu ambao jana walikuwa wachawi lakini leo wameokoka. Ukifanya CBA, kuna faida nyingi kwa CDM kumpokea Millya kuliko kumtupa, the same applies kwa Lowasa.........
Typo...Equilibrium