Arusha; Wenyeviti wa vitogoji 16 kupitia CCM kuhamia Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha; Wenyeviti wa vitogoji 16 kupitia CCM kuhamia Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Apr 19, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Akihojiwa na capital Radio Godless lema amesema kuna wenyeviti wa vitogoji 16 hapa mjini Arusha wanamsubili ali warudishe kadi za CCM kujiunga na chadema. Tanzania tujiandae kwa chaguzi mbali mbali pengine hata uchaguzi wa raisi unaweza kufanyika karibuni maana kuna kila ishara kuwa hata Kikwete ana tamani kuhamia CHADEMA.

  wakati huo huo
  ===========
   
 2. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Vuvuzela Nape jr Aje ajibu hili kwa kusema wamekosa mvuto au amewavua Gamba
   
 3. d

  dguyana JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waiter sasa funga baa!!!
   
 4. kibakwe

  kibakwe Senior Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa kheri CCM,nataka mfe kifo cha mende
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,015
  Trophy Points: 280
  CCM ni sikio la kufa, tiba yake pekee ni kaburi la milele
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Afunge tena badala afungue hahahaha
   
 7. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwani yupo wapi?
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Atajibu nini mwanza wanachama wana kimbia Arusha ndiyo balaaaaaaaaa
   
 9. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wahenga walisema lenye mwanzo halikosi mwisho na sasa yametimia.
   
 10. J

  John W. Mlacha Verified User

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  wapemba wapo humu
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  vizuri sana
   
 12. s

  sangija Senior Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya sasa!!!! walete walete!!!!! watu wameshaamka! sasa wameziona mbivu!!! peoplessssssssss poweeeeeeeeeeer!!!
   
 13. A

  Awo JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 790
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Ile hukumu ya Lema imewageuka magamba?
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Yuko mwanza kumpokea Diwani wa Kata ya Nyampulukano, Jimbo la Sengerema Mjini ndg Hamis Mwagao ama Tabasamu alieihama CCM na kuhamia chadema.
   
 15. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Sasa ina maana Jimbo la Arusha hata CCM Infanyeje litabaki CHADEMA

  Hao Viongozi wote kukimbilia CHADEMA itakuwa rahisi Wananchi kushawishika kuichagua CHADEMA
   
 16. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Dhuluma ni kitendo kibaya sana kitendwe na mtu mmoja mmoja ama na serikali na anguko la serikali dhulumati huwa ni anguko kuu na baya. Serikali imewadhulu yatima waliokuwa wanapatiwa mahitaji yao na Lema. Najua Mungu si wa visasi lakini huwa anatoa funzo ninauhakika kwa hili atawafundisha wote waliofanya kitendo kile.
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu, mimi naweza kusema nawashukru sana CCM kwa kupindisha sheria na kulekea Godbless Lema kuvuliwa ubunge pengine ndiyo njia aliyotupangia mwenyezi Mungu ya kuikomboa nchi hii watu wamezidi kuichukia CCM kuliko wanavyotegemea.
   
 18. Bwemero L

  Bwemero L Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dhuluma ni kitendo kibaya sana kitendwe na mtu mmoja mmoja ama na serikali na anguko la serikali dhulumati huwa ni anguko kuu na baya. Serikali imewadhulu yatima waliokuwa wanapatiwa mahitaji yao na Lema. Najua Mungu si wa visasi lakini huwa anatoa funzo ninauhakika kwa hili atawafundisha wote waliofanya kitendo kile.
  [malipo ni hapahapa duniani!!!]
   
Loading...