Nape rejea alama za nyakati kicho cha CCM kimewadia

SonGod emo

Member
Apr 5, 2012
17
12
Namshangaa sana Nape kwa kutokusoma alama za nyakatati aangalie Arusha/Monduli na hata Mwanza asijipe moyo wakati chama kinakufa awaangalie kina Gadafi/Ben/Sadaam na wengine wengi waliwatukana watu kuwa ni panya na mende wanaosumbua nyumani leo hii wako wap? REJEA ALAMA ZA NYAKATI NDUGU.
 
Back
Top Bottom