PM Pinda ni Mwanasiasa Nguli

busar

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
1,068
1,061
Pamoja na maneno makali ya MPs, lkn Hakuna jipya kwa tz ya Leo, Pinda ni kati ya Wanasiasa wanaoweza kuzima hoja ngumu na nzito Kama hizi zilizoko bungeni muda huu...jikumbushe juu ya mahakama ya kadhi, mgomo wa madaktari, suala la jairo na posho..wait and see conclusions za kikao cha bunge hili Kama kuna lolote litatokea
 
Watu wengine huwa mnatutafutia Ban tu....
 
Ni mzinguaji, MSALITI WA WANANCHI MASIKINI WAKULIMA WA TANZANIA. Kwangu huyu ni kama mnafiki fulani!
 
Back
Top Bottom