Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Written by Mrfroasty (Ufundi) // 20/04/2012 // Habari // 2 Comments Salma Said, Zanzibar Send to a friend KAMATI Teule ya Baraza la Wawakilishi imegundua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama ilivyo kawaida ya wabunge wa chama tawala walivyokuja juu, tunategemea nini kutoka kwao ikiwa baada ya malalamiko yote waliyotoa watashindwa kuwawajibisha mawaziri na waziri mkuu. AU Ndio...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwalimu amewafuma na kibuti/madesa/nondo kwenye mtihani, sasa wanahangaika kukimeza ili kupoteza ushahidi. Yamewafika shingoni, sisi wananchi ambao ndio wasimamizi wa mtihani tumewaona vizuri...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Prime Minister Mizengo Pinda has cautioned the public against dishonest people deceiving people that national identity cards are sold. Pinda was reacting to a question from Betty Machangu...
0 Reactions
2 Replies
860 Views
Nachukua fursa hii kuwamwagia pongezi za dhati wabunge wetu wa CCM kwa kuwa mstari wa mbele kutaka mabadiliko ndani ya serikali yetu iliyoingia kwa kura za wananchi. Msirudi nyuma tumieni nafasi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni miaka takribani kumi na ushei hivi aliyekuwa mbunge machachari na baadaye akawa waziri wa kilimo, mara akawa mkuu wa mkoa Tabora amepotea katika uwanja wa siasa. Ukichunguza kilichomuondoa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nakubaliana kabisa na maneno ya member wa JF Lukolo yasemayo: Hakuna nchi rahisi kuongoza kama Tanzania. Hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kuiongoza, ilimradi awe na jeshi tu.
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Wabunge wataka ang'oke, nyaraka zaanikwa Atofautiana na Naibu na katibu Mkuu wake Alitaka kuwazunguka Mkulo na Dk. Kawambwa WAZIRI wa Uchukuzi, Omar Nundu, sasa anasubiri hurumaya Rais...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wimbi la kujiunga na Chadema mkoani Arusha limezidi kuongezeka baada ya wenyeviti watano wa vitongoji na wanachama 2,402 wilayani Ngorongoro kukihama chama hicho jana. Mbali na viongozi hao, pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama ikishindikana either mawaziri wenye kashfa kujiuzuru au waziri mkuu kujiuzuru ili kuonyesha uwajibikaji basi wewe na wenzio mliothubutu kufanya hivyo akina Karamagi na Msabaha lalamikeni kuwa...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Mbunge Jimbo la Mtera CCM, Mh. Lusinde, ameonekana kukerwa pia na uozo katika baraza la mawaziri, lakini Wanazuoni makini wanadai kuwa ana haki ya kukereka kama Watanzania wengine, lakini baada ya...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Napenda kusema kuwa kwa mujibu wa sheria na taratibu inawezekana Waziri Mkuu kuwajibishwa na bunge kama alivyoainisha Mh. Zito jana. Lakini naomba mniamini kuwa Bunge hili haliwezi kufanya hivyo...
1 Reactions
1 Replies
861 Views
Jana kupitia taarifa ya habari ya ITV, Mhe. Godbless lema alimpokea rasmi CDM diwani aliyesepa CCM huko Mwanza, Pia alichukua nafasi hiyo kumtahadhalisha mkuu wa mkoa wa Arusha na wakubwa wengine...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimefatilia safari zote za jk huwa akisafiri huku watu ndo wanafanya maamuzi. Kashindwa kuwawajibisha mawaziri wake kwasababu ni wezi wenzake= mabest wake tena kwa viremba na humwambii kitu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Posted on April 19, 2012 by zanzibaryetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala bora, Haji Omar Kheri akifanya majumuisho katika kikao cha baraza la wawakilishi Serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeikuta hii kwenye facebook page yake kuhusu rusha katika mchakato wa ubunge wa Afrika Mashariki. "Asanteni sana kwa maoni yenu mengi iliyotoa katika Facebook Status yangu niliyoweka juzi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wabunge wa CCM msiposaini atapingwa na nguvu ya umma. Kumbukeni hili ni shinikizo tu ili serikali iwawajibishe mawaziri, plz saini kuokoa taifa. Tutakuuliza baadae 2015 kwamba hukuunga mkono vita...
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Ngeleja na Malima watatoka leo?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa wale waliopata nafasi ya kumsikiliza GODBLESS LEMA hata mara moja watakubalina na mimi kuwa jamaa ni mtu makini mno hasa anapopanda jukwaani kunadi chama na sera zake..Lema ni mtu mwenye mvuto...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nadhani wengi tunajua alichokisema mh. z. kabwe jana bungeni alipokuwa anahitimisha hoja ya kamati ya mashirika ya umma. zito alisema anakusudia kukusanya sahihi za wabunge 70 ili aweza wasilisha...
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…