Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wengine wanasema yu bado Brazil. Wengine wanasema yu Malawi. Wengine wanasema ..........................!!!! Nijuze tafadhalini
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Automaticaly this decission by the chama cha mapinduzi was inevitable and this marks the failure of Zito's efforts a thing which bring a second successful step to Zito and his followers who'll...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Sefue amefanya kikao cha siri na speaker Anna Makinga na inasadikiwa kupanga mikakati ya kuvuruga presha ya wabunge wasiisulubu serikali. Pichani Katibu Mkuu Ofisi...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Naangalia bunge wakat huu sion wabunge wa CDM pamoja hata na kiongoz wa upinzani bungeni kuna nn au mgomo au kikao cha dharura kuhus PM. wenye taarifa watujuze
0 Reactions
3 Replies
1K Views
...sijashangazwa hata kidogo na maamuzi ya makinda (iwe anaruhusiwa kisheria au la). Najua jambo moja: ccm imeharakishiwa kifo chake. Jana kulikuwa na vikao kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha na...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Cheche huzaa moto. Nadhani, mbali na mambo mengine, hukumu mbovu ya Mwakibarila imechangia wananchi kuzidi kuichukia CCM. Inawezekana CCM waliweka mkono wao ili Jaji atende alivyotenda bila...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
TCU wameto tangazo la udahili kuanza lakini mpaka leo kuna baadhi ya LINK azifunguki. kwa mfano REGISTER LINK ya diploma ya ualimu,hili ni tatizo la siasa kuangilia kila kitu sasa na wenyewe...
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Wakuu kuna Rafiki yangu amenitonya kwamba, Rafiki yake ambaye ni mtoto wa Kigogo mmoja ameitwa na Baba yake ghafula leo asubuhi na inasemekana amapewa majukumu ya kusimamia kubadili majina ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wait wait a minute ....Dismus Mutasingwa wa Rwamishenye....Akithibitisha nitawambia
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nchi yetu ni business as ussual wabunge watajadili sana lakini hakuna hatua zozote zitakazochuliwa pinda ataendelea kuwepo mawaziri wote pamoja na mkulo wataendelea kuwepo na kula nchi kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimevutiwa sana na maneno ya kishujaa ya huyu Mbunge dhidi ya chama chake, anasema: "At this rate i will not be surprised if CCM was defeated, and victory will only be delivered by divine...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu nina masikitiko moyoni baada ya kuisoma kwa undani ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali na ile Ripoti ya Mh. ZITTO pamoja na zile nyaraka muhumu ambazo Mh. Zitto anazo kuhusu uzwaji wa maeneo...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Kwani si kweli Imeandikwa siku sita tumtumikie Kaizari na siku ya saba tumpe Mungu,je nihaki Tanzania kuiweka siku ya jumapili kuwa siku ya kupiga kura?.wana hakika gani ni Wakristu wangapi...
0 Reactions
1 Replies
933 Views
Kwa wale ambao hawakusikiliza ni wakati muafaka wa kujua nini wabunge hao walikisema dhidi ya mawaziri ambao wanatuhumiwa kwa wizi. Ni ushujaa wa kipekee kwa kijana Filikunjombe ukizingatia yeye...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
LIVE: ili kusikiliza tembelea www.arushamambo.com click ''Sikiliza Arusha Mambo FM....'' ili kusikiliza, tutafurahi ukituunga Mkono kwa ku ''Like'' Radio yetu kwenye Tunein Page baada ya...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nawaletea taarifa hizi ambazo zimezagaa kwenye ofisi ya Spika na katibu wa Bunge kuwa huenda ratiba ikafupishwa na kesho jumamosi ikatolewa hoja ya kuliahirisha Bung kabla ya wakati ili kuilinda...
2 Reactions
62 Replies
9K Views
Huwa najiuliza ivi Pinda akipigwa chini does that mean baraza la mawaziri lote limepigwa chini au wao wanaendelea na majukumu? Msaada wa interpretation pls
0 Reactions
11 Replies
1K Views
MHE KABWE Z. ZITTO – MWENYEKITI WA KAMATI YA HESABU ZA MASHIRIKA YA UMMA: Mheshimiwa Naibu Spika, na mimi nawashukuru Waheshimiwa Wabunge wote ambao wamechangia katika hoja hii na kutokana...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Mama Mheshimiwa Spika Anna Makinda,nikiwa raia mtanzania na mpenda ukweli,sina uhakika kama utapata wasaa au hata kama huwa unapata muda wa kupita ndani ya hii JF,ingawa nina uhakika huku si...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
HATMA ya mawaziri watano wanaotuhumiwa kwa ubadhirifu wa mali ya umma sasa iko mikononi mwa Rais Jakaya Kikwete, kufuatia hatua ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi kutaka watendaji hao wajiuzulu...
0 Reactions
101 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…