KAMA JK alikuwa anawazo la kuwawajibisha mawaziri ikulu isingekuwa na haja ya kukana habari 'potofu' kama ilivyoziita tungeona vitendo tu!
Kusema kwamba haiwezi kulinda uozo ni kuwasafisha...
Mimi mwanaCCM
Lakini hili la nchi yangu kuuzwa huku nikiwa mzima linanuuma saana
Hivi kitu kama hiki kinaweza kufanyika bila RAIS kujua?
Je Rais wangu alikuwa anajua hiki kitu?
Chukulia mfano...
kutokana na mambo yanavyokwenda bungeni wengi tumeanza kupata hisia huenda pm akang'olewa. Ila tukumbuke wabunge wa ccm ni wale wale wale waliokalishana chini na kuja kupitisha muswada mbovu wa...
Wizara yake inatoa vibali vya uwindaji kinyume cha sheria.
Maige anailalamikia Kamati kuwa haikumshirikisha yeye kama Waziri.
Maige anadai Kamati 'inadaiwa' kuhongwa.
Kamati inadai Wizara...
Nyie Wadanganyika, mkiambiwa msiwape CCM zaidi ya nusu ya Wabunge basi mjue tuna maana ya kutabiria hali kama hii! Endapo leo hii CCM wangekuwa na viti 70 na vingine upinzani haki ya Mungu kuanzia...
Habari wana jf,napendekeza kauli mpya hii waitumie chadema,ninaimani itavuta sana watu kutoka pande zote za nchi.napendekeza chadema watembee nchi nzima kueneza kauli hii mpaka vijijini huku...
Ni kuhusu migodi ya madini, nimekuta akitakiwa na spika kuleta taarifa yake kwa maandishi. Nimechelewa chanzo chake. Aliyesikia kwa mapana tafadhali.
Ufafanuzi: Anayetajwa hapa si Waziri wa...
wakuu tukiwa tunaelekea kwenye katiba mpya napendekeza lifuatalo;
tuweke maneno tunayoamini kuwa ni ya msingi kwenye katiba mpya kwa ajili ya tafakari zaidi
bones are made before the flesh and the...
-Raisi ateuwe mawazili ila wawe wana report kwa waziri mkuu,pia waziri mkuu awe na mamraka maarumu ya kumfukuza kazi waziri kwa nakara ya mapendekezo ya bunge.
- katibu mkuu kiongozi awe...
Taarifa ya Waziri wa Kilimo ndg. Maghembe inasema kuwa wale waliochakachuwa mbolea kwa kuchanganya na chumvi wamechukuliwa hatua, kesi zipo mahakamani na wanatuhumiwa kwa kuhujumu uchumi.
Kifupi...
Ndugu zanguni wanabodi naomba tujikumbushe sentensi moja tu ambayo mh. NATSE ALIYEKUWA MENEJA WA KAMPENI WA ARUMERU CDM'. ALISEMA HIVI PALE LEGANGA 'WATANZANIA IMEFIKA WAKATI TUSEME BASI'.
As if...
Katibu wa Kamati ya Wabunge wa Chama cha Mapinduzi, Jenista Mhagama, akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma mara baada ya kumalizika kwa kikao ambacho kimewashauri mawaziri wanane...
Naomba msaada ndugu zangu je kuna mahali popote wanauza gwanda za chadema au ukitaka unajishonea tu mwenyewe???nataka niwe member kamili maana ntajickia furaha sana kama nkipita road nimezivaa, au...
Ole Sendeka azomewa
Katika kikao hicho wabunge walimzomea Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole-Sendeka baada ya kusimama na kuonyesha wazi kuwa anawatetea mawaziri hao walioonekana kuchafua hali...
SUNDAY, APRIL 22, 2012
KANUSHO LA HABARI POTOFU KATIKA TANZANIA DAIMA AMBALO LEO LINA KICHWA CHA HABARI KISOMEKACHO "JK.ALINDA MAWAZIRI"
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Gazeti la Tanzania...
Wadau, sisi tuliokuwepo kwenye mkutano wa hadhara wa Dr. Slaa pale Sengerema tulijulishwa na wadau kuwa madiwani wote wa CCM walikuwa wamefungiwa ndani ili wasihudhurie mkutano wa hadhara wa Dr...
Kama Mawaziri watagoma kujiudhuru pamoja na kasfa zote za ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka ,je wananchi tuishie kupiga kelele tu au kuna hatua twaweza chukua achilia mbali sahihi 70 za...