CHADEMA yakamata ngome ya CCM Kyaka

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
CDM kimeshinda uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Burifani, Kata ya Kyaka, wilaya ya Misenyi, ambacho ni makazi ya Mbunge wa Nkenge, Asumpter Mshana. Mgombea wa CDM, Deogratias Laurian, alipata kura 401 dhidi ya kura 129 za Mathias Kibarwiga wa CCM. Placid Vedasto wa TLP alipata kura 2.

Habari zaidi soma Mwananchi la leo uk.9. HONGERA CHADEMA
 
Nice, Wahaya wabadilike!!! Wasomi wote inabidi wabadilike, angalia wachaga, wanyakyusa mwendo mdundo tu, nshomile ndio mlibaki nyuma.
Kashaija butegenkatela ema**olubalaitule! Omugani ogwo nogumanya?
 
nshomile ujanja mdomoni, hata sie afadhali wasukuma kanda ya ziwa tumeamka siku hizi nyie bishoo ukifika bukoba kamji kamechooka eti stendi ndo city ccentre! U cant believe huko ndo wasomi nshomile wanatoka. U need 2 change!akoto
 
Wahaya ni kati ya makabila yanayoongoza kwa upinzani ila CCM imewa"target" kama inavyoli"target" jiji la Dar es salaam. Ikumbukwa mwaka 2000 Kagera ilikuwa itoe wabunge 6 wa upinzani, lakini wakakatwa wanne na kubakizwa wawili.
 
nshomile ujanja mdomoni, hata sie afadhali wasukuma kanda ya ziwa tumeamka siku hizi nyie bishoo ukifika bukoba kamji kamechooka eti stendi ndo city ccentre! U cant believe huko ndo wasomi nshomile wanatoka. U need 2 change!akoto

Uko sahihi, kwa kiasi fulani. Basi bwana Burner, nenda vijijini, huko kuna mambo mazuri ukilinganisha na vijijini usukumani. Wahaya wanajenga nyumbani kwanza enzi hizo!! Anyway, lakini you are somehow right. Sikutegemea kama Bukoba mjini wangelimpa huyu mzee ubunge!! They need to change!!!
 
nshomile ujanja mdomoni, hata sie afadhali wasukuma kanda ya ziwa tumeamka siku hizi nyie bishoo ukifika bukoba kamji kamechooka eti stendi ndo city ccentre! U cant believe huko ndo wasomi nshomile wanatoka. U need 2 change!akoto

Bila kumung'unya maneno hawa akina Nshomile ni Wanafiki sana na ni Watu wa kujipendekeza sana kwa wenye madaraka! Huwa daima ni gold diggers! Ni watu watakaokuwa wa mwisho kwenye safari ya Ukombozi
 
Wahaya bana majigambo mengi nlipofika bukoba sikuamini macho yangu kamji kamekakamaaaa,na usomi wao wa kinafki wengi ni wabinafsi .
 
CDM kimeshinda uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Burifani, Kata ya Kyaka, wilaya ya Misenyi, ambacho ni makazi ya Mbunge wa Nkenge, Asumpter Mshana. Mgombea wa CDM, Deogratias Laurian, alipata kura 401 dhidi ya kura 129 za Mathias Kibarwiga wa CCM. Placid Vedasto wa TLP alipata kura 2.

Habari zaidi soma Mwananchi la leo uk.9. HONGERA CHADEMA
Ahsante Mkuu Kashaijabutege kwa kutuhabarisha, ingawa avatar yako inanikumbusha huyo jamaa akiwa kwetu Igayaza hospitali ametundika bendera yake. CHADEMA ni moto usipime, huko huko vijijini walikodhani watu wamelala sasa wameamka!!!!! VIVA CHADEMA VIVA MAGEUZI YA KYAKA!!!!

Ushnd huu ume2pa faraja kubwa,ingawa CCM waliweka vikwazo mbalimbali,ila tumedhiirisha nguvu ya umma na tulianza na mungu na kumaliza na mungu& ni salamu kwa mbunge ajiandae na tsunami ya CDM
Wakuu mbona mnanipa raha, hadi nyumbani sasa CDM imeshika kasi, spidi iwe hiyo hiyo tunawaombea mafanikio!!!! UKOMBOZI NI SASA VIVA CDM!!!!!

nshomile ujanja mdomoni, hata sie afadhali wasukuma kanda ya ziwa tumeamka siku hizi nyie bishoo ukifika bukoba kamji kamechooka eti stendi ndo city ccentre! U cant believe huko ndo wasomi nshomile wanatoka. U need 2 change!akoto

Mkuu wameshabadilika uzidi kuwapa moyo jirani zako. Kwa kasi hii mpaka 2015 upepo utakuwa umewabadilisha wengi. Vile vile jirani zako wa Tabora hao naona wanahitaji msasa sana. Ukija kwa watani zako Wagogo namsihi Mhe Lema, Dr. Slaa na nguvu zingi za M4C na timu imara ya kanda ya kati iundwe ili kuwaelimisha Wagogo. Kwa akina samaki nchanga (te te te) inabidi Mhe Mbowe na Mhe Zitto wahamie kule ili kuhamasisha uelewe zaidi wa watu. Tandahimba naona wameanza kuona mwanga kutoka kwenye tundu. Upepo huu ni muhimu uzidi kukolezwa na wapenda nchi wote.
 
Hongera CDM kwa ushindi Watanzania tunawasubiri mtawale wakati wowote CCM wameshindwa wakabidhi nchi kwenu.
 
Back
Top Bottom