Nawahimiza W.J Malecela na Nape Nnauye wahamiie CHADEMA huko ndiko watapata mawazo ya ukombozi wa kweli, kwani walipo CCM kumeshaoza na hawarekebishiki hata iweje, baba zao kuwa huko sio lazima nao wafie huko au mwasemaje Great Thinkers!
Chukua jembe kalimeChadema hakuna deal, hebu niambie kwa mfano nikiwa Chadema nikitaka kabilioni kamoja nafanyaje??????????
Nape ataleta umbea chadema..no way!
ezan chadema hakuna cha bure lazima uwajibike na ule halali yako {no free lunch at all}
Utaipata kwenye matibabu ya bure na elimu ya bure pamoja na maendeleo mengine , hakuna kujirudikia mali