Zitto, Filikujombe na Nape: wasikilize baada ya muda mfupi kupitia clouds fm.

Sheshejr

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
434
82
Ni katika kipind cha jahazi kinachoendelea, take your time to listen them, huenda wana mapya kutokana na movie ya jana ilivyoisha.
 
Wakuu tuelezeni walichoongea kwenye hicho kipindi wengine kwa sasa tuko nje ya nchi, tutafurahi mkituhabarisha wamesema nini.
Tafadhalini sana
 
Alieleta mada hajaweka sawa amekurupuka, ni kwamba watangazaji wa jahazi wamesema baadae watawahoji hao wabunge. Kwa hiyo bado hawajahojiwa.
 
Wakuu tuelezeni walichoongea kwenye hicho kipindi wengine kwa sasa tuko nje ya nchi, tutafurahi mkituhabarisha wamesema nini.
Tafadhalini sana

wait a minute, bado porojo zimekuwa nyingi.
 
zito anasema jana alipeleka yale majina kwa spika, akamtaka spika ijadiliwe. Anasema bado spika ameishikilia.
 
Zitto anadai serikal bado haijafanya maamuz kuhusu swala la mawaziri wanaotakiwa kujiuzuru, hivyo wanalishupalia swala hilo mpaka lieleweke, na tayari hoja ya kumuadabisha wazir mkuu iko kwa spika na wanamsubir spka awapangie sku ya kuljadir swala hilo.
 
Filikunjombe anasema ni kwa mara ya kwanza wakati bunge likihairishwa wabunge hawakupiga makofi, na walikuwa kmya hivyo ukimya huo wa wabunge una maana kubwa kwa serikal.
 
Nape anasema hivi..
Mjadala ulikuwa sahihi
wabunge wao wamekosoa. Kama kuna mapungufu yatafanyiwa kazi
 
Nape anasema wabunge wana haki ya kuihoj serikal, na vile vile kama tuhuma za kuliwa fedha za umma zina ukwel basi serikal ifanye haraka kulitolea maamuz hil.
 
hawa clouds ni wasanii wanasema watakuja studio kumbe usanii wamerekodi!!!
 
Back
Top Bottom