Waziri mkuu hakupigiwa makofi akihitimisha bunge

ELIESKIA

Senior Member
Jul 21, 2011
120
15
Baada ya kuhitimisha hotuba ya kuhitimisha bunge wazir mkuu hakupigiwa makofi na wabunge kama ilivyo desturi .tafsiri yake ni nini
 
Hamna mpya wewe subiri movement inayofuata na mpaka hao wabunge wenyewe wa CCM watakigeuka hicho chama, hamna mtu anayependa mwingine afaidi kwa hela za ubadhilifu.
 
kwann waliphojiwa pia wasingesema siooooo kwa pamoja kama walivyonyamaza?
 
Back
Top Bottom