Ushauri wa bure kwa CCM

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Kwa jinsi mambo yanavyo enda kombo,ni vyema chama cha mapinduzi kianze kujipanga kuwa chama imara cha upinzani.
Ushahidi u wazi,KANU ya kenya ilishindwa kuliona hili mapema na inawagharimu kwa sasa.
Ni ushauri tu,kwani kama mwana mageuzi,sipendi pindi upinzani utakapochukua nchi,kuwe na chama cha kusimamia serikali itimize kazi zake.
Naomba kuwasilisha.
 
Sitamani hata kiwe chama cha upinzani, natamani kife kabisa na kipotee katika ramani ya dunia
 
mkuu,huoni kwamba tutakapo chukua nchi 7{chadema} bila upinzani imara,ni rahc kujisahau,na hvo kuishia pabaya?

Mzee,you are right, Ila sijui kama CDM na sie great thinkers tumejifunza jambo toka arumeru na kwa Bw.Mitusi
Funzo 1. CCM washaelekea kibra, ni kazi kwetu kuwa waungwana kwa nchi yet na vizazi vijavyo kwa ku- recognize Kazi nzuri ya waliojitolea,hadi wanapigwa mapanga,tukagombee uenyekiti wa Mtaa -2014.Hii ni kazi ndogo haina complications katika majukumu yako, na ina impact Kubwa saana, to ensure when CDM gets into power its ever strong, no sabotage kama za Mza,etc

Funzo 2. CCM haikuwa hivi zamani,walipojiona wamekuwa indispensable wakalegeza Taratibu,wakavuna hadi ma joka (Lusinde) badala ya Samaki na sasa lishakuwa joka Kubwa liko had I kwenye NEC wanaliogopa na kulivizia Nam a ya kuliua! So CDM watch out carefully your operation sangara! Yasije wakuteni.
 
:rockon:Mwenzako anapokuwa ananyolewa wewe utafute maji utie kichwani mwako kabla haijaja zamu yako!!!!:rockon:
 
Mzee,you are right, Ila sijui kama CDM na sie great thinkers tumejifunza jambo toka arumeru na kwa Bw.Mitusi
Funzo 1. CCM washaelekea kibra, ni kazi kwetu kuwa waungwana kwa nchi yet na vizazi vijavyo kwa ku- recognize Kazi nzuri ya waliojitolea,hadi wanapigwa mapanga,tukagombee uenyekiti wa Mtaa -2014.Hii ni kazi ndogo haina complications katika majukumu yako, na ina impact Kubwa saana, to ensure when CDM gets into power its ever strong, no sabotage kama za Mza,etc

Funzo 2. CCM haikuwa hivi zamani,walipojiona wamekuwa indispensable wakalegeza Taratibu,wakavuna hadi ma joka (Lusinde) badala ya Samaki na sasa lishakuwa joka Kubwa liko had I kwenye NEC wanaliogopa na kulivizia Nam a ya kuliua! So CDM watch out carefully your operation sangara! Yasije wakuteni.

umeongea mambo ya mbolea na manufaa makubwa mno!
Tumekusikia na tutayatendea kazi haya!
 
Wakafie baharini hao magamba!
Vyama vingine vitaibuka tu on da way!
RIP CCM!
 
ccm ife kabisa kama upinzani basi kiwe chama kingine. ccm wana maovu mengi hawastahili kuendelea kuwepo hata hivyo wana kesi nyingi za kujibu. Mimi napendekeza kamati maalumu iundwe mara tu baada ya ukombozi kwa ajili ya kuratibu urudishwaji wa mali za umma walizo jilimbikizia magamba
 
Kweli kabisa!
CCM wana kesi ya kujibu mbele za watz na mbele za Mungu!!
 
Mzee,you are right, Ila sijui kama CDM na sie great thinkers tumejifunza jambo toka arumeru na kwa Bw.Mitusi
Funzo 1. CCM washaelekea kibra, ni kazi kwetu kuwa waungwana kwa nchi yet na vizazi vijavyo kwa ku- recognize Kazi nzuri ya waliojitolea,hadi wanapigwa mapanga,tukagombee uenyekiti wa Mtaa -2014.Hii ni kazi ndogo haina complications katika majukumu yako, na ina impact Kubwa saana, to ensure when CDM gets into power its ever strong, no sabotage kama za Mza,etc

Funzo 2. CCM haikuwa hivi zamani,walipojiona wamekuwa indispensable wakalegeza Taratibu,wakavuna hadi ma joka (Lusinde) badala ya Samaki na sasa lishakuwa joka Kubwa liko had I kwenye NEC wanaliogopa na kulivizia Nam a ya kuliua! So CDM watch out carefully your operation sangara! Yasije wakuteni.

ELIAHKAMWELA says thank you for this very useful post!
 
CCM ife ife ife kabisa, imetutia umaskini wa kutosha, Rwanda na Uganda walikuwa na vita but sasa wanatupita, Kenya wametuacha mbali japo hawana rasilimali kama za kwetu!
 
ccm ife kabisa kama upinzani basi kiwe chama kingine. ccm wana maovu mengi hawastahili kuendelea kuwepo hata hivyo wana kesi nyingi za kujibu. Mimi napendekeza kamati maalumu iundwe mara tu baada ya ukombozi kwa ajili ya kuratibu urudishwaji wa mali za umma walizo jilimbikizia magamba

Ni wazo zuri mkuu,ila kama unakumbuka vizuri mwl JK Nyerere alitamani sana kiwepo chama mbadala kwa CCM ili kiweze kuisukuma kufanya kazi.
CDM i mbioni kuchukua dola!
Beleive me,CDM haina watu wazuri watupu,bali kuna wengi tu ambao wameficha makucha yao!
Madaraka ni matamu,na bila nguvu ya nje,ni rahc kujisahau!
Kama ikitokea 2015 CDM ikachukua nchi,naona hatari ya kukosekana upinzani wa maana,kwan CUF ndio hvo inaelekea kaburini,NCCR haieleweki!
Hvyo naona ni busara sasa CCM waanze kujipanga kuwa chama kikuu cha upinzani for the better future of our country.
 
CCM hatuihitaji kwenye ramani ya uhai,tunataka ife kibudu CCM imesababisha wanachi tuwe masikini wa kutupwa,to hell CCM.
 
Ni wazo zuri mkuu,ila kama unakumbuka vizuri mwl JK Nyerere alitamani sana kiwepo chama mbadala kwa CCM ili kiweze kuisukuma kufanya kazi.
CDM i mbioni kuchukua dola!
Beleive me,CDM haina watu wazuri watupu,bali kuna wengi tu ambao wameficha makucha yao!
Madaraka ni matamu,na bila nguvu ya nje,ni rahc kujisahau!
Kama ikitokea 2015 CDM ikachukua nchi,naona hatari ya kukosekana upinzani wa maana,kwan CUF ndio hvo inaelekea kaburini,NCCR haieleweki!
Hvyo naona ni busara sasa CCM waanze kujipanga kuwa chama kikuu cha upinzani for the better future of our country.

kwani mwalimu alisema ccm ikifa,iwe chama cha upinzani?
Acha mambo yako bana!
 
ccm ife kabisa kama upinzani basi kiwe chama kingine. ccm wana maovu mengi hawastahili kuendelea kuwepo hata hivyo wana kesi nyingi za kujibu. Mimi napendekeza kamati maalumu iundwe mara tu baada ya ukombozi kwa ajili ya kuratibu urudishwaji wa mali za umma walizo jilimbikizia magamba

Hili nalo neno.
 
Back
Top Bottom