Mara waahidi kuwafukuza wabunge wao isipokuwa..

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Wabunge wa Mkoa wa Mara wameandikiwa ujumbe na wapiga kura wao kuwa wasiposaini karatasi ya kuwatosa Mafisadi basi wasijiite Wabunge.

Na hawana uhalali wa kurudi Majimboni,hiyo imepelekea Mbunge wa Musoma vijijini ku saini haraka karatasi hiyo ili adhabu ya wapiga kura isimshukie,hadi sasa wabunge wa mara waliosaini ni Esther matiko(chadema) Alphaxad Kangi Lugola(CCM) Vincent Nyerere(chadema)Nimrod mkono(CCM) huku ambao bado hawajasaini ni Stephen Kebwe(CCM)
Rosemary Kirigini(CCM)
Stepen Wassira(CCM).
Lameck Airo(CCM)
Gaudentia kabaka(CCM)Esther bulaya(CCM)Nyambari Nyangwine(CCM), Kasi ya shinikizo kutoka kwa wapiga kura inaenea kwa kasi ambapo baadhi ya wa bunge wamekiri kuwepo kwa shinikizo hilo zito kutoka kwa Wapiga kura wao..
 
wabunge wa mkoa wa mara wameandikiwa ujumbe na wapiga kura wao kuwa wasiposaini karatasi ya kuwatosa mafisadi basi wasijiite wabunge,
na hawana uhalali wa kurudi majimboni,hiyo imepelekea mbunge wa musoma vijijini ku saini haraka karatasi hiyo ili adhabu ya wapiga kura isimshukie,hadi sasa wabunge wa mara waliosaini ni esther matiko(chadema) alphaxad kangi lugola(ccm) vincent nyerere(chadema)nimrod mkono(ccm) huku ambao bado hawajasaini ni stephen kebwe(ccm)
stepen wassira(ccm)
gaudentia kabaka(ccm)esther bulaya(ccm)nyambari nyangwine(ccm)
kasi ya shinikizo kutoka kwa wapiga kura inaenea kwa kasi ambapo baadhi ya wa bunge wamekiri kuwepo kwa shinikizo hilo zito kutoka kwa wapiga kura wao..

kama ya kweli, basi ni hatua nzuri. Na msoma siku zote huwa hawana masihara
 
Magamba wanaumbuana sasa,Nundu analia na Mfutakamba, hakuna wa afadhali
 
Wapiga kura wa mara mpo juu kwa wasiosaini ninaomba muwaaibishe kwani wanaonesha kuwa wanaridhika na madudu yanayofanywa na serikali.
 
Mtu wa kwanza kumwajibisha awe Ester Bulaya, huyu binti ni mnafiki mnooo sijapata kuona, alivyokuwa anakomaa bungeni nilitegemea angekuwa wa kwa kwanza kusaini. Tatizo wengine wanaogopa wanavizia labda hao mawaziri watoke nao wabahatishe ulaji.
Watu wa Mara hongereni sana, ila jamii forum tuanze kumuangalia kwa jicho la umakini huyu Ester Bulaya, heri mchawi kuliko mnafiki.
 
Mtu wa kwanza kumwajibisha awe Ester Bulaya, huyu binti ni mnafiki mnooo sijapata kuona, alivyokuwa anakomaa bungeni nilitegemea angekuwa wa kwa kwanza kusaini. Tatizo wengine wanaogopa wanavizia labda hao mawaziri watoke nao wabahatishe ulaji.
Watu wa Mara hongereni sana, ila jamii forum tuanze kumuangalia kwa jicho la umakini huyu Ester Bulaya, heri mchawi kuliko mnafiki.

Nakuunga mkono asilimia mia ila siyo Ester Bulaya peke yake ni mnafiki bali hata wengine wa magamba na magamba b yani cafu mimi ukiniambia mbaka leo saini 70 hazijafika siamini kwani walivyo kuwa wakali ile siku wakichangia kweli wabunge wa magamba ni wanafiki wakubwa
 
Back
Top Bottom