Kashfa ya MAKAMBA wa CCM

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,820
Je umewahi kuisikia hii?
Makamba kielimu yuko duni, nasikia tetesi kuwa aliwahi kuwa mwalimu wa UPE, ambako sijui alihusishwa na tukio la ubakaji mtoto wa shule, kisha akadondokea Jeshi , ni darasa la saba fulani hivi, ni sawa na kina Lukuvi, na Tz kama hujaenda shule nafasi yakuongea kingereza ni ndogo, maana hakizungumzwi mtaani.
 
Je umewahi kuisikia hii?

Unataka kusema kuwa hizi ndio sifa za MAKAMBA?:-
  1. Hana shule
  2. Mbakaji
Dah hii sikuwahi kuithink before, nimeongea Kiingereza ili mnaosema kuwa sisi walimu wa UPE tuna hali mbaya kwenye ki INGRISHY
 
Mwalimu wa UPE niliisikiaga..ila kubaka...:confused2:
 
kubaka??!!!!!!!!!!!!

kijana uwe na adabu. that is too much, stick on his abilities na si kumtusi.
 
Kweli usilo lijua ni kama usiku wa giza.
Mshikaji hodara sana wa kunukuu vifungu vya maandiko matakatifu kumbe hana lolote.
MBAKAJI!!!!!!!!!!
 
Je umewahi kuisikia hii?

mmmhhhhh na nyie msitirini babuyenu jamani

unamjua mtu anaitwa shyrose banji nenda kaulize alipata ngapi form 4 uje na jibu alafu ujiulize yuko wapi nyie wenye degree zenu na phd tutakutana hapa hapa JF wale mungu aliwajua tangu tumboni mwa mama zao kwa hiyo wasome wasingesoma wanakula goodlife roja
 
Wakuu... lets lift JF jamani iwe na heshima zaidi.... kama ana tuhuma za kubaka basi ziwe na uthibitisho au ushahidi fulani, hii ya kuweka blanket namna hii naona inashusha hadhi
 
Roger that!!!!!! Wengine life zao ziko defined tayari yani hata wafanyeje..wanakula good time na wanachapa mwendo kama kawa..hata wakiharibu wanarudi mstarini na life goes on..so kashfa wanazopewa haziwatingishi kwani hujasikia "flani ana ngoma" na anadunda tu akicheki hana na maisha yanasonga ila wanaomsema wanapukutika....kashfa tutazisikia sana coz hii ni politics
 
huyu babayangu jamani kila mtu anamakosa yake akuna aliye msafi mi sina comment kwa baba makamba
 
Unataka kusema kuwa hizi ndio sifa za MAKAMBA?:-
  1. Hana shule
  2. Mbakaji
Dah hii sikuwahi kuithink before, nimeongea Kiingereza ili mnaosema kuwa sisi walimu wa UPE tuna hali mbaya kwenye ki INGRISHY

Kwa upande wa Makamba na sifa zake mimi simo. Ninachojua ni mmoja kati ya wana CCM wenye uwezo wa kuongoza at least venma kuliko wengi tu. Hayo sina uhahika nayo. Lakini pia kuna watu wengi wenye CLEAN sheet na matukio yote haya lakini wanatuumiza sana
ni mafisadi sana!
Cha maana hapa iwe ni uwezo wake kwa sasa. Mfano Unavyomzungumzia JK kama mkuu wa nchi,
1. Kuwalinda mafisadi,
2. Kudanganywa na kufungua miradi hewa,
3. Kuwatukana MAEXPERTS wa nchi(wafanyakazi)= kuitukana nchi
na mambo kibao ambayo wana JF walishayasema huyo hata kama hajawahi kuwa vile huko nyuma basi hatufai kabisa ataua watoto wetu.
So haya ya miaka ya enzi zile kuhusu huyu mzee msemakweli mimi SIMO!!:mad2:
 
Wakuu... lets lift JF jamani iwe na heshima zaidi.... kama ana tuhuma za kubaka basi ziwe na uthibitisho au ushahidi fulani, hii ya kuweka blanket namna hii naona inashusha hadhi

Hii ni kweli kabisa Mkuu.
 
Je umewahi kuisikia hii?


Hamna mwanadamu aliye mkamilifu.
Hata ndugu yangu NGUVUMALI analijua hilo.




quote_icon.png
Originally Posted by nguvumali
Makamba kielimu yuko duni, nasikia tetesi kuwa aliwahi kuwa mwalimu wa UPE, ambako sijui alihusishwa na tukio la ubakaji mtoto wa shule, kisha akadondokea Jeshi , ni darasa la saba fulani hivi, ni sawa na kina Lukuvi, na Tz kama hujaenda shule nafasi yakuongea kingereza ni ndogo, maana hakizungumzwi mtaani.
 
Mwenye elimu duni ni yupi yule amabaye hajaenda shule au yule aliyesoma havard lakini maamuzi yake hayaendani na Havard. Kwangu Makamba anawazidi kielimu wasomi wengi ndani ya CCM

Sio kwamba namtetea kuwa Makamaba ni safi but hii ya kubaka ni kashfa nzito. Ikiwezekna mleta hoja fuatilila kwa msaada hata wa vyombo vya habari kutafuta familia ya muathirika haki itendeke.

Changamoto kwa wajasiriamali. Naona kuna opportunity ya Kuanzisha NGO au kampuni ye ku-profile watu . Maana tuna prile za watu wengi kwa mujibu wa wao wenyewe lakini hatuna profile ambazo zimetayarishwa huru. Teh Teh Teh
 
Watu wamekuwa wakibiri kile ambacho makamba atasema kuhusu suala lake la kufukuzwa kazi/ualimu na sababu kuu ni kwamba alimewa akiwabaka wanafunzi kadhaa......naomba mnisaidie iwapo ameshajibu shutuma hizo ambazo inaonekana data zake ziko wazi kabisa. Kama kawaida ya ccm mtu fulani akifanya uchafu anahamishiwa sehemu nyingine.a.k.a KULINDANA.
 
Hawezi kujibu kwa sababu akifanya hivyo sana sana atakanusha na anaogopa kukanusha kwa sababu anajua kuna watu watamuumbua kwa sababu wanajua ukweli.

His best position is silence
 
MAKAMBA BWANA...........LAKINI NI MJANJA SANA KWANI ANAJUA KU TURN PEOPLE'S MIND KWA MFANO ALIJUA KABISA KIKWETE ANAANDAMWA KUKIWA KWEUPE YEYE AKAONA JINSI YA KUMWOKOA KIKWETE NI KUANZISHA PRIVATE ISSUES DHIDI YA DR.SLAA ILI TU MHESHIMIWA WAKE ASIENDELEE KUANIKWA HADHARANI NA AMEFANIKIWA KWANI MAKAMBA YUPO TAYARI YEYE ACHAFUKE LAKINI KIKWETE AONEKANE MSAFI........CCM BWANA WANA MAMBO MENGI SANA MACHAFU AMBAYO SIKU MOJA WENDA WAZIMU WALIOKO CCM WAKIJA KUJUA KUWA CCM INAWAHADAA KIASI HICHO UTAONA KUTAKAVYOCHAfFUKA JAPO DALILI ZIMEONEKANA NA ZIPO WAZI............
KWAKE YEYE MAKAMBA NI MAFANIKIO MAKUBWA NA ATAANDIKA REPORT KUWA ALIFANIKIWA KUWATEKA WATZ WAKAACHA KUJADILI MAMBO YA MSINGI WAKAANZA KUFUATILIA MAMBO BINAFSI."WELEVU TUMEKUONA ULIPOJIFICHA"...........HEKO MAKAMBA.......KIDUMU CHAMA CHA MAFISADI
Hawezi kujibu kwa sababu akifanya hivyo sana sana atakanusha na anaogopa kukanusha kwa sababu anajua kuna watu watamuumbua kwa sababu wanajua ukweli.

His best position is silence
 
Wadau naombeni nami nifahamu kuhusu sababu kwa nini Makamba( Katibu mkuu wa ccm-Taifa) juu ya yeye kufukuzwa ualimu na je ni ualimu by professinal au magumashi?
 
Back
Top Bottom