Tamko la CHADEMA juu ya kuvunja Muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la CHADEMA juu ya kuvunja Muungano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by arigold, Apr 27, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. a

  arigold JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  Nilitegemea CHADEMA aka M4C wangetoa tamko juu ya hali ya muungano na namna ya kwenda mbele.

  Naomba waziri kivuli husika wa CHADEMA atutolee tamko ili tujue wamesimama wapi kwenye huu mradi wa Magamaba ambao wananchi wa bara na visiwani hawautaki

  kazi kwenu M4C
   
 2. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Kama tayari umeshasema ni mradi wa magamba, sasa unataka CDM iseme nini tena?
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Habari ya wapi mkuu!
  German on The Netherland?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...