Chadema na maandamano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema na maandamano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MZEE WA KARATU, Apr 27, 2012.

 1. M

  MZEE WA KARATU Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu nisaidieni kwa unadani zaidi bila ushabiki bila hila. Tufanye nini ili Serikali iwe sikivu kwa kuwaondoa mawaziri wasiojali wananchi? Je maandamo ya nguvu ya uma peke yake itatosha? au itafutwe mbinu mbadala wote tuende kuishi Ikuli watulishe walishindwa kutulisha Serikali yote itajiuzulu.
   
 2. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Ngoja kwanza nikale fegi ntarudi!!
   
Loading...