Tanzanian Diaspora are BETRAYERS

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,590
2,141
They are busy opening CCM branches all over US, UK, EUROPE day in day out

They manifest themselves how hopeless, retarded and feeble minded they are even after getting the western or oveseas exposure!

What's so special they did for this Country, especially in this corrupt leadership regime that we have?

Guys, you have to change for the good of your country.
 
Mkuu not all of them are like. There are some of course who are there because of the positions of their parents in the government. Somebody professional who is either in UK or USA and other developed countries and is there by his own initiatives cannot support CCM. Ukimkuta mtu huko ana support CCM ujue amekwenda huko kwa njia ya CCM
 
Mkuu kizungu chako kigumu mno sijaambulia kitu kabisa.!!
 
Mkuu hiyo ni baada ya Heinkein kuingia akilini lakini ni kipi hujaelewa. Naanza upya. NOT ALL OF THEM ARE LIKE THAT (Meaning are not like betrayers) hapo endelea
 
Mkuu not all of them are like. There are some of course who are there because of the positions of their parents in the government. Somebody professional who is either in UK or USA and other developed countries and is there by his own initiatives cannot support CCM. Ukimkuta mtu huko ana support CCM ujue amekwenda huko kwa njia ya CCM

Asikudanganye mtu. Wanaokimbilia mashina ya CCM ni losers. Kuna vijana USA ambao ni kiboko yao. Professional wa hali ya juu. Wakina Hassan Saudin, John Mashaka, Richard Mollel, Frank Minja, Inessa na wengine kibao. Ni vijana wa kukata na shoka. Hauwezi kuwakuta kwenye makundi ya CCM. Hawa ni professionals wa hali ya juu ambao inabidi warudi tu hapa tule nao vumbi kama kweli ni wazalendo. Wanaokimbilia mashina ya CCM ni wabeba boxi njaa wa DC, Houston na NY.....Wakina Malecela
 
Acha kuchechetuka kama kicheche na kuwapa uzalendo wa kubembeleza au kuwapa watu sifa kwa muhasho wako, kuna kona hizo mitaa ya kati kama una proposal za kusaidia kwenu zinatoa hela mshahara wa hao wapuuzi hapo juu ni hadithi baati mbaya tu silaha zetu wengine zimezuiliaka.

Duuh hizi stella ngoja nikalale.
 
Sioni sababu yako ya kuwaita hawa vijana wapuuzi. alafu kuniita kicheche kwa sababu mimi ni mwanamke ni udhalilishaji wa kijinsia ambayo haikubaliki. Dunia ya sasa, tunashindana kwa hoja. Hauna oja, kalale. Hawa vijana ni wazalendo, ingia kwenye mtandao wao uone wanayojadili ndio uwaite wapuuzi. mkuu hao vijana ni vichwa kweli kweli alafu wote ni under 40.

Au mpaka wawe kama Shemeji yangu Lebaharia Le Mutuz au Nape ndio uwaone wa maana. Sidhani hata baada ya karne moja Nape anaweza kufika kwenye level yao kwa namna yoyote ile. nadhani huu ni ukweli usiofichika
 
Hao Watanzania wa diaspora wana harufu gani, rangi gani na wanachemka katika nyuzijoto ngapi?

Maana hata kwenye metals kuna alloy, na hata mapacha wanaweza kuwa na allergies tofauti.

Sasa hawa Watanzania wa diaspora wote kuwa sawa wamekuwa borgs?
 
Asikudanganye mtu. Wanaokimbilia mashina ya CCM ni losers. Kuna vijana USA ambao ni kiboko yao. Professional wa hali ya juu. Wakina Hassan Saudin, John Mashaka, Richard Mollel, Frank Minja, Inessa na wengine kibao. Ni vijana wa kukata na shoka. Hauwezi kuwakuta kwenye makundi ya CCM. Hawa ni professionals wa hali ya juu ambao inabidi warudi tu hapa tule nao vumbi kama kweli ni wazalendo. Wanaokimbilia mashina ya CCM ni wabeba boxi njaa wa DC, Houston na NY.....Wakina Malecela
Hivi mtu unawajuaje watu wengine ambao hata wao hawakujui?
Hata kama ni wasotaji wewe inakuhusu nini?
Kwani wewe kukaa bongo ndiyo unaona uzalendo? Wanaopigwa risasi na polisi au walowezi ni watu wa aina gani?
Stop playa hatin' on the sidelines!!!
 
Sioni sababu yako ya kuwaita hawa vijana wapuuzi. alafu kuniita kicheche kwa sababu mimi ni mwanamke ni udhalilishaji wa kijinsia ambayo haikubaliki. Dunia ya sasa, tunashindana kwa hoja. Hauna oja, kalale. Hawa vijana ni wazalendo, ingia kwenye mtandao wao uone wanayojadili ndio uwaite wapuuzi. mkuu hao vijana ni vichwa kweli kweli alafu wote ni under 40.

Talk is cheap and if they have a forum it only demonstrates their lack of understanding the way the world works because none of them is entitled to spend a penny of their earnings to help up with local projects. I am talking about funds that are worth millions sijui hupo, only you need is a proposal. To me ur heroes being misinformed demonstrates their ways is through politics, what a bunch of losers.

By the way dont take it personal im just thinking based on what i know to judge them. Samahani if i appeared sexist earlier but then i hate nonsense (yaani kufagilia watu).

Usiku mwema kabla sijamwaga mtama kwenye ndege wengi, sio kwamba sitaki wengine hawana nia njema na taifa, watu kama MoD kadhaa.
 
Mkuu not all of them are like. There are some of course who are there because of the positions of their parents in the government. Somebody professional who is either in UK or USA and other developed countries and is there by his own initiatives cannot support CCM. Ukimkuta mtu huko ana support CCM ujue amekwenda huko kwa njia ya CCM

Babu yako alipelekwa ulaya na CCM?
 
Mkuu not all of them are like. There are some of course who are there because of the positions of their parents in the government. Somebody professional who is either in UK or USA and other developed countries and is there by his own initiatives cannot support CCM. Ukimkuta mtu huko ana support CCM ujue amekwenda huko kwa njia ya CCM
aAAAAARGHHHHH!!!!!:target:
 
Inawezekana kuna haja ya kudefine diaspora, na pia tunahitaji kujua ni kigezo gani leroy ametumia kutuhumu maana na yeye yuko nje ya nchi
 
Hao Watanzania wa diaspora wana harufu gani, rangi gani na wanachemka katika nyuzijoto ngapi?
Maana hata kwenye metals kuna alloy, na hata mapacha wanaweza kuwa na allergies tofauti.
Sasa hawa Watanzania wa diaspora wote kuwa sawa wamekuwa borgs?

Mkuu Kiranga. Nadhani inabidi tumwage sifa panapostahili. Nadhani baadhi ya hawa vijana michango yao inahitajika ili kuibadilisha taifa letu. Wewe ni mtu ambaye namheshimu sana katika kuchangia mawazo chanya katika ili jukwaa. Wapo pia watu wengine kama Nyani Ngabu ambao wanafahamika kwa majungu na wivu. Swala la Diaspora ni zito, lakini nadhani kikuwba kinachowazuia kurudi nyumbani ni malipo duni. Watu wamezoea hela ndefu, unadhani wanaweza kurudi kuanza kupigania posho? nadhani hiyo ni ngumu kwa binadamu yeyote yule, Hata mimi nawaunga mkono. siwezi kuacha $250,000 kwenda kupigania posho ya $1300 kwa mwezi. Kama wana hela za kutosha kujikimu/sustain na kuendeleza quality ya life waliyonayo basi haina shida. Ila ni mzalendo tu ndiye anayeweza kukimbia mishahara kama hiyo kuja kupambana....
 
Nadhani kuna haja ya kudefine maana ya uzalendo. Uzalendo ni kile kitendo cha mtu kupenda nchi yake , na kupenda nchi sio lazima ukae katika nchi husika ; unaweza kuwa nje ya nchi yako and yet ukawa msaada mkubwa sana kwa hiyo nchi kuliko kama ungekuwa unaishi hapo, hivyo basi sidhani kuwa kuacha mshahara mnono huko ughaibuni na kurudi nyumbani kuja kugombania mshahara kiduchu ni uzalendo kwani katika dunia ya leo mtu anaweza kuwa huko nje na akafanya mambo mengi tu ya maendeleo nchini kwake!! Wenzetu Kenya wananchi wao wanapeleka fedha nyingi sana kutoka nje huko waliko na fedha hizo ni msaada mkubwa sana kwa uchumi wao.
 
It's a pity, trying to create BRANCHES FOR A TREE THAT HAS ROTTEN ROOTS. Before they realize, they'll have branches with no tree to hold on to.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom