Je, hii ni Sababu KUBWA ya waziri Maige kuwa FISADI?!

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Hivi chimbuko hasa la waziri kijana wa Utalii na Maliasili, Bwana Maige kuiba pesa za watanzania na kuwa fisadi nguli ni hayo yaliyomo kwenye hii attachment? Je, attachment hii inaonesha a tip of the iceberg ya chimbuko la wizi wa mali ya umma Tanzania kwa viongozi wengine wote wa siasa?

Kujitoa kote huko kwa Mr. Maige ni kutaka kumsaidia mtanzania kuondokana na umasikini?!
 
Attachments

  • Monkey business.pdf
    118.4 KB · Views: 754
Mkuu hii ni hatari. Kama mtu anatumia pesa zote hizo hadi anakausha liquid asset zake unadhani akipata pa kutokea ataacha kutoka na ku recoup vile alivyovipoteza wakati wa kampeni.

Kumbe wizi unaanzia kwenye kampeni na wakishapata wanataka warudishe pesa zao. Ndio maana wengine wakikosa wanakuwa vichaa. Hebu fikiria huyu Maige angekosa huo Ubunge nini kingemtokea; kijana wa watu angekufa kwa kihoro.

Lakini mkuu mbona umeficha addressees?
 
Mkuu nitashangaa sana kama British Kansel watakaa kimya kwa email yao kutumika kwenye private matters tena za kisiasa
 
Hii attachment inaonyesha kwanini yametokea yaliyotokea wizarani kwake. Kumbe jamaa aliishiwa hadi akaomba financial support!!! Huyu ametumia mill 32-40 anaomba msaada kwa whoever he sent the email to, amsaidie financially. Nilimsikiliza alivyokuwa anajibu hoja. Hakujibu bali alilalamika tu kuwa ameonewa. Ajibu hoja ndipo tutajua yeye ni msafi kiasi gani. Isitoshe hayo mamilioni aliyotumia kwenye kampeni alipata wapi? Anyway the days are numbered for those who are stealing the assets of this nation. Our God will take care of them when the day of the Lord comes. We will continue to kneel down and pray until all is exposed.
Hivi chimbuko hasa la waziri kijana wa Utalii na Maliasili, Bwana Maige kuiba pesa za watanzania na kuwa fisadi nguli ni hayo yaliyomo kwenye hii attachment? Je, attachment hii inaonesha a tip of the iceberg ya chimbuko la wizi wa mali ya umma Tanzania kwa viongozi wengine wote wa siasa?

Kujitoa kote huko kwa Mr. Maige ni kutaka kumsaidia mtanzania kuondokana na umasikini?!
 
Kwa ufahamu wangu na kwa kumsikia Maige akizungumza lugha ya malkia, inatia wasiwasi kama kweli hii aliandika yeye; yaleyale ya "email ya Mwamvita" yanaonekana kujirudia humu.
 
Hawa mawaziri wa CCM kila mmoja ana hadidu za rejea kutoka kwa waliomweka madrakani (ubunge na uwaziri).
 
Hivi chimbuko hasa la waziri kijana wa Utalii na Maliasili, Bwana Maige kuiba pesa za watanzania na kuwa fisadi nguli ni hayo yaliyomo kwenye hii attachment? Je, attachment hii inaonesha a tip of the iceberg ya chimbuko la wizi wa mali ya umma Tanzania kwa viongozi wengine wote wa siasa?

Kujitoa kote huko kwa Mr. Maige ni kutaka kumsaidia mtanzania kuondokana na umasikini?!

Big up mkulu! Umetisha. Sasa naomba na kale ka barua ka yule dada January kalikokuwa kanaenda kwa yule laazizi wake wa barrick ili nicompare ni yupi kati yao yuko juu kwa kupiga mizinga! Natanguliza shukran, teh teh teh!
 
Hii si email halisi, mbona umeunganisha maelezo ya maombi na email ya maige kwa kuscan karatasi juu ya nyingine? Kwa kuligundua hilo angalia hizo alama za muunganiko wa karatasi. be serious sometimes.

haya ni majungu wakuu JF
 
Kwa ufahamu wangu na kwa kumsikia Maige akizungumza lugha ya malkia, inatia wasiwasi kama kweli hii aliandika yeye; yaleyale ya "email ya Mwamvita" yanaonekana kujirudia humu.

shida iko wapi mkuu. si huenda alimpa mtu afanye proof reading tu
 
Hii si email halisi, mbona umeunganisha maelezo ya maombi na email ya maige kwa kuscan karatasi juu ya nyingine? Kwa kuligundua hilo angalia hizo alama za muunganiko wa karatasi. be serious sometimes.

haya ni majungu wakuu JF

We mjinaga kweli! Inatosha kujua kuwa mkeo kaliwa kwa kumuona tu anatoka chumba cha guest na kidume mwingine. Usingojee mpaka ukute mguu wake unaning'inia dirishani ndo ujue umeibiwa weweee!
 
Kwa ufahamu wangu na kwa kumsikia Maige akizungumza lugha ya malkia, inatia wasiwasi kama kweli hii aliandika yeye; yaleyale ya "email ya Mwamvita" yanaonekana kujirudia humu.
Kwa wagombea ubunge/udiwani wa chama kinachotumia nguvu kukubalika kwa wananchi-CCM, lazma wagombea wake watumie fedha nyingi ili kuingia madarakani. Kwa kuwa fedha za kutosha kuwaingiza madarakani ni nyingi sana na wengi wao hawana uwezo wa kuzipata,wanachofanya ni kuwaomba mafisadi misaada, mafisadi nao bila hiyana wanawapa maana wanajua wata reap benefit nyingi sana kutokana na kuwasaidia pindi watakapokuwa madarakani. Aidha, wanajua wakishawasaidia ndio wamekwisha wafumba midomo. No wonder, kwa serikali ya CCM kuwatumikia mafisadi badala ya wapiga kura, wanajua madaraka /uongozi /ubunge/udiwani walionao umetokana na Rushwa/fedha walizopewa na mafisadi na sio lidhaa/dhamira ya wapiga kura.

Hivyo tusishangae January makamba na dada yake kuhongwa wakati wa campaign na wawekezaji, tusishangae Maige kuomba hela ya kuhonga wapiga kura na wala tusimshangae JK kuwa bubu kwa mafisadi papa. Tusishangae pia kwann hatufanyiwi maendeleo yoyote na wala tunachokitaka hakitekelezwi, wala hoja zetu hazisikilizwi-Refer Pinda na mawaziri kugoma kujiuzuru despite wizi wa mchana kweupe. Tupambane tu kuinyang'anya CCM nchi yetu ili tukipe lidhaa chama kilicho free from mafisadi. Kumbuka mlipa zumari ndiye anayechagua wimbo.
 
SASA NI WANGAPI WAMEFANYA HIVI?NDO MAANA UFISADI HAUISHI ccm WAKIWA MADARAKANI.
HII NI KWELI KABISA WALA HAINA SHAKA tafuteni namba yake ya simu kama siyo hiyo ilioko humu
 
Mimi naishi jirani na jimbo lake,wananchi wake wako hoi kiuchumi. Walikubali kuhongwa hizo Tshirts na kofia maana kwa hali ilivyo wananchi hata ule uwezo wa kujinunulia nguo hawana kwa hiyo tshirts na kanga za ccm ndo ikiwa bahati ya mkenge kwao,viwalo vya bure lakini kwa sharti la kumchagua yeye. Hana jipya ni ufisadi mtupu huu:target:
 
Mkuu hii ni hatari. Kama mtu anatumia pesa zote hizo hadi anakausha liquid asset zake unadhani akipata pa kutokea ataacha kutoka na ku recoup vile alivyovipoteza wakati wa kampeni.

Kumbe wizi unaanzia kwenye kampeni na wakishapata wanataka warudishe pesa zao. Ndio maana wengine wakikosa wanakuwa vichaa. Hebu fikiria huyu Maige angekosa huo Ubunge nini kingemtokea; kijana wa watu angekufa kwa kihoro.

Lakini mkuu mbona umeficha addressees?

Nimeficha addressees kwa sababu sio sehemu ya ujmbe ambao nataka uwafikie wengine. Pili, inaweza kuleta uhasama baina yao na Maige kwani ndio watakuwa chief suspects wa kusambaza hii e-mail wakati yeye amesisitiza isiwe hivyo, tatu, mimi mwenyewe nisinge remain anonymous kwani ni mmoja wa addressees!
 
Kwa ufahamu wangu na kwa kumsikia Maige akizungumza lugha ya malkia, inatia wasiwasi kama kweli hii aliandika yeye; yaleyale ya "email ya Mwamvita" yanaonekana kujirudia humu.

Nipatie postal address yako nikutumie print out ya hii e-mail. Maanake wengine ni kama Tomaso, hamuamini mpaka muone!
 
Back
Top Bottom