Kwa wachungaji, maaskofu na mashehe Wabunge msipo tia saini mnamwamini shetani

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Haijarishi uko CCM, CDM,TLP,CUF nk kwa ufisadi ulio wazi nanyi mko huko ambako kibinadamu ndio mmepewa jukumu la kulinda na kitetea uhuru, haki na sheria kwa viumbe wote ktk hao nyie kiimani mmewekwa kama daraja na Mungu.

Kwa macho na masikio mmeshuhudia uozo dhidi ya waumini wenu kama kweli mnaamini Kuna Mungu tena anayependa haki fanyeni yalio na haki kwa Watanzania na Mungu atawabiriki.

Napenda watanzania tuone mnamwogopa nani Chama au sauti ya Mungu kupitia wananchi wanaolia na ufisadi.

Mwisho mkiona waumini hatuji ktk makanisa na misikiti yenu tumeamua kuachana na Ukaisari wenu na kumfuata Mungu wa haki
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom