Slaa awajibu polisi

Polisi wetu ni km pazia vile, upepo utakapoelekea nao wanakwenda huko huko***************
 
Dr. Slaa amesema OCD alitaarifiwa zaidi ya mara 5 lakini hakuchukua hatua stahiki kuwalinda wabunge wawili wa CDM.

Pia kasema kushindwa kwa serikali kushughulikia kero za muungano kunamfanya yeye asisherehekea sikukuu ya muungano. Anasema hana unafiki na anapenda kusherehekea kwa dhamiri safi na moyo mweupe jambo ambalo halizwezekani kwa mazingira ya sasa.

DR. SLAA take a mighty bow!
 
Haya sasa ngoma inogile...Polisi wamechokoza nyuki...hata yale waliyofikiri kuwa hayajulikani basi Dr Kapata upenyo wa kuyamwaga hadharani ili jamii itambue ukweli...Kumbe OCD alishiriki?Tutasikia mengi zaidi ya hapo.
 
polisisiemu kweli mnatumika vibaya,kila zama zinawakati wake mkumbuke,hata kusoma alama za nyakati inawawia vigumu?! Nguvu ya umma haitishwi na polisi wala magereza!! Simamieni haki na muwe walinzi wa usalama kama wajibu wenu unavyo pasa.yatajawakuta tu kwani ni suala la muda tu.kama mnajua kukamata kwanini msimkamate maige anaeuza twiga kinyemela?msitumie masaburi katika kufanya kazi inapohitajika akili
 
Tatizo wanafikiri watu wote ni vilaza kama mabosi wao ambao uwezo wa ku-reason ulishaexpire kitambo:doh:
 
Jack Masamaki-aliyekuwa mgombea wa udiwani(CCM)kata ya Kirumba ni swahiba mkubwa wa Riz 1 na DCI Manumba...na ndiye anayetuhumiwa kuandaa shambulizi hilo.You can imagine from there kwanini Jeshi la Polisi linajikanyaga kanyaga tu juu ya hili tukio...Lazima kuna maelekezo yanayotoka juu.
 
hawa jamaa hawana ata ubinadam sababu wenyewe pia haoni maisha yao yalivo magumu wanaishi kwa salary ya 180000 hawastahiki kupata iyo ka serikali makin wanayoitumikia wawa adhibu kwanza wanao wanyonya na co kuwapiga wananchi wanaotambua haki zao
 
Haya sasa ngoma inogile...Polisi wamechokoza nyuki...hata yale waliyofikiri kuwa hayajulikani basi Dr Kapata upenyo wa kuyamwaga hadharani ili jamii itambue ukweli...Kumbe OCD alishiriki?Tutasikia mengi zaidi ya hapo.

Huyo OCD wa Mwanza ana harafu mbaya ya kulinda wahalifu kwa manufaa yake binafsi. CHADEMA wamfuatilie vizuri, watangundua hajaanza leo.
 
nimeanzisha uzi wa baraza jipya naona imetupwa kapuni lakini niwapongeze wanaccm na usalama wa kikwete kwa kuendelea kutupatia kinacho endelea hata kama ni ikulu
 
Hivi si inawezeka polisi ikawa inatumiwa ili kuhamisha mawazo ya watanzania kutoka katika suala la kubadilisha baraza la mawaziri na watendaji wengine wa serikali kutokana na ubadhilifu wa mali za umma ?

Nashauri kila post katika Jukwaa hili iambatane na sentensi moja inayohimiza kuirekebisha serikali katika kuwawajibisha wote wanaotuibia
 
nimeanzisha uzi wa baraza jipya naona imetupwa kapuni lakini niwapongeze wanaccm na usalama wa kikwete kwa kuendelea kutupatia kinacho endelea hata kama ni ikulu

kama ni hili jipya, kuna watu amewekwa kw kukomolewa sana...ili jk awaone kama watatatua kero hasa kigwangala na makamba...tizeba amewekwa kwa sababu maalumu..ngereja amepitishwa dirishani....ila bado kuna mkanganyiko sana
 
Back
Top Bottom