Kwa udhaifu huu wa J.k ni dhahiri kuwa CHADEMA imeshaikamata dola kabla ya 2015. Ni dhahiri na mwenye tafakuri hana haja ya kuuliza zaidi kwani waswahili husema mwenye macho haambiwi Tazama. Sina...
Nisaidieni jamani katiba ya jamhuri ya muungano inasemaje je raisi ni lazier aombe ruhusa kwenye Chama chake anapotaka kubadili baraza la mawaziri? Maana naona Nape anasema kamati kuu imeridhia...
Tunampongeza dr slaa kwa kazi kubwa anayofanya ya kutengeneza na kuimarisha chama huko kanda ya ziwa! Tunakutaka ufike kilolo ili utusafishie uongozi wa chama kwakuwa umejipambanua kuwa ni...
Huwa najiuliza sipati jibu maridhawa ni kwanini Wizara nyeti kama ile kwa pato la taifa umempa waziri mmoja bila naibu? Ana uwezo gani huyu wa kuwa pekee,hasafiri,haendi likizo,haumwi?
Ama yule...
Baada ya kuona jina la Zambi katika list ya majina yanayopigiwa chapuo juu ya uwaziri, ilinibidi nifanye ufuatiliaji kidogo kwa wenyeji wa hapa Mbozi kwa kuwa nipo huku. Na majibu niliyopata ni...
kwa nini wa Tanganyika tumefanya sherehe za miaka 48 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar bila ya wa Zanzibari kushiriki pale uwanja wa Taifa na Ikulu
Rais wa Zanzibar hakuwepo katika sherehe...
Taarifa ya kufumka siri za utajiri wa kutisha wa waziri kijana wa Maliasili na Utalii Ezekiel Maige zinapaswa kutufanya tumpende na ikiwezekana tumsaidie kumfikisha mbele ya vyombo husika ingawa...
Source Mtanzania
Mawaziri tumbo joto ni ile kauli ya baada ya muungano atavunja baraza la mawaziri.
My take.
Kama ni Mukama ndo kaitisha basi hawana uwezo wa kutengua mawaziri ila...
MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), imesema awamu ya kwanza ya Vitambulisho vya Taifa imekamilika na vitaanza kutolewa mapema mwezi ujao.
Imesema kuwa uzinduzi wa kutoa vitambulisho hivyo...
Wakongwe mnijuze tafadhari; Waberoya aliyeandika Makala hii ndiyo huyu wa sasa au kuna mwingine?
Mimi nimekuwa nikimfuatilia mheshimiwa Zitto, tangu alipoongoza mapinduzi ya kupindua serikali ya...
Aeshi Khalfan Hilal wa CCM jimbo la Sumbawanga mjini, ameshinda kesi iliyokuwa ikimkabili ya kupinga ubunge wake ikipinga kutangazwa mshindi baada ya uchaguzi mkuu uliopita 31/1012012...
Kwa Hisani ya MIsupu
Mwinyi na Membe wakitafakari jambo na kutoa Hoja nzito nzito
SIta akifikilia Jambo ili atoe cheche
Mytake:
Hawa Mawaziri wanakiabisha chama chetu
, Apr 27th, 2012
Tanzania | Friday, April 27th 2012
CHADEMA's Director of Publicity and Information Mr John Mnyika
The Central Committee of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) meets...
Mkuu naona kila kona upo na Senior wako Zito,lakini unajifunza nini pale??angalia sana mdogo wangu piga kazi peke yako usikubali kujiingiza kwenye makundi ndani ya chama,nyota yako inan'gaa sana...
Huko Chato, katika Mkoa mpya wa Geita, CHADEMA kimepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa wenyeviti wa serikali za vijiji baada ya kuibwaga CCM kwa kupata vijiji vinane kati ya 11...
Kufuatia kugoma kuwawajibisha Mawaziri wako mafisadi kwa kuficha aibu huku ukiangamiza taifa kwa kisingizio ya kuwa hoja imeanzishwa na wapinzani hivyo watajipatia umaaarufu, vipi kuhusu...
Wanabodi wote Salaam sana
wiki moja tu iliyopita wabunge wetu waliwashutumu mawaziri kwa ubadhirifu mkubwa akiwemo waziri wa Kilimo ushirika Prof. Maghembe. Lakini wakati huo huo serikali...