Dr slaa tuondolee clay mwitula ni kibaraka wa ccm wilayani kilolo!

Mar 1, 2012
61
10
Tunampongeza dr slaa kwa kazi kubwa anayofanya ya kutengeneza na kuimarisha chama huko kanda ya ziwa! Tunakutaka ufike kilolo ili utusafishie uongozi wa chama kwakuwa umejipambanua kuwa ni kibaraka wa ccm 1. Mwaka 2011 wakati wa operation sangara m.Kiti wa chama alidanganya kuwa kilolo kuna mvua na hivyo kuwafanya msifike jambo ambalo lilikuwa si kweli 2. Clay alikidanya chama kwa kugombea ubunge na udiwani-2010 jambo ambalo alikidanganya chama kwani hakufanya kampeni na hatimaye prof.Msola kushinda kiurahisi 3. Hataki kuona wanaharakati wakijenga chama kwakuwa amekuwa amekuwa akitishia watu kuwaweka korokoroni. wadau wote tuungane katika hili ili tujenge chama chetu hapa kilolo na tz kwa ujumla hatimaye tuchukue dola 2015. Nawasilisha!
 
mwitula acha kuchezea cdm. hiki ni kimbunga kikali kaa chonjo kisije kikakupitia mjomba
 
Sio huyo tu, wapo wengi tu, hadi wanamuharibia cv yake! Watimue wote wenye kuhodhi rasilimali zetu! Sometimes nashawishika kumuelewa, lakini uwepo wa mafogo kunanifanya ni-doubt, Slaa alituambia wako tayari kufunga mikanda kwa ajili yetu, nahisi yeye pekee mwenye nia ya dhati katika hilo.
 
Tunampongeza dr slaa kwa kazi kubwa anayofanya ya kutengeneza na kuimarisha chama huko kanda ya ziwa! Tunakutaka ufike kilolo ili utusafishie uongozi wa chama kwakuwa umejipambanua kuwa ni kibaraka wa ccm 1. Mwaka 2011 wakati wa operation sangara m.Kiti wa chama alidanganya kuwa kilolo kuna mvua na hivyo kuwafanya msifike jambo ambalo lilikuwa si kweli 2. Clay alikidanya chama kwa kugombea ubunge na udiwani-2010 jambo ambalo alikidanganya chama kwani hakufanya kampeni na hatimaye prof.Msola kushinda kiurahisi 3. Hataki kuona wanaharakati wakijenga chama kwakuwa amekuwa amekuwa akitishia watu kuwaweka korokoroni. wadau wote tuungane katika hili ili tujenge chama chetu hapa kilolo na tz kwa ujumla hatimaye tuchukue dola 2015. Nawasilisha!

Pole mkuu kwa kero uliyoleta, ila hilo sio la kusubili Dr slaa, hilo limo ndani ya uwezo wa wanachama, angalia utaratibu kwenye katiba na sana sana muwashilikishe uongozi wa mkoa.
 
Kamanda kilolo ni jimbo la kijijini hivyo watu bado wana-woga wakati huohuo mkoa unafahamu tatizo hili lakini halitatuliwi.
 
Back
Top Bottom