Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,372
- 2,374
Huwa najiuliza sipati jibu maridhawa ni kwanini Wizara nyeti kama ile kwa pato la taifa umempa waziri mmoja bila naibu? Ana uwezo gani huyu wa kuwa pekee,hasafiri,haendi likizo,haumwi?
Ama yule ni kivuli tu pale cha kugawa vitalu na vibali vya kuvuna misitu na kujenga mahoteli na airstrips kwenye mbuga zetu..? nashawishika kuamini kuwa yupo waziri mwenyewe anayesuka mipango hadi dege zima la kijeshi kuja kuhamisha wanyama adimu! Hebu mtume salva atupe taarifa fupi tu ya sababu chache za kuweka waziri mmoja pale?
Single pilot aliepo hapo nasikia ameanza kugawa cash $ 310,000 jimboni kama msaada wakati wewe huna pesa za kulipa mishahara,nina mashaka akipatwa na tatizo angani ndege itakosa mwelekeo.ni hayo tu!
Ijumaa Kareem