(Picha) Mawaziri watema CHECHE bunge la EAC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

(Picha) Mawaziri watema CHECHE bunge la EAC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Apr 27, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kwa Hisani ya MIsupu


  [​IMG]

  Mwinyi na Membe wakitafakari jambo na kutoa Hoja nzito nzito


  [​IMG]

  SIta akifikilia Jambo ili atoe cheche

  Mytake:

  Hawa Mawaziri wanakiabisha chama chetu
   
 2. s

  sawabho JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Wakenya wakiona hivyo, wanapenyeza hoja nzito ili Wahe. kutoka TZ waunge mkono bila kuisikia na kuitafakari.
   
 3. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,985
  Likes Received: 20,384
  Trophy Points: 280
  Naona huyu Mzenji anachat FB:yuck:, Membe kwa kumwangalia, fikra zake hazipo kwenye kabrasha mbele yake. Mwisho wa siku wanakunywa maji mbele yao wanakimbia maliwatoni wanawauta wenzao wamenyoosha mikono kuamua jambo la kuipendelea Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda:doh:
   
 4. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Wapi hapo?? Arusha au??
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Jamani isijekuwa ni hujuma inafanywa na hizi zingine. Haiwezekani mawaziri wote full kulala, au posho ya vikao ni kidogo sana? Au pengine walishazoea kutoshirikisha vichwa, sasa wameshirikishwa kidogo vikauma kwa kuwa zile nondo zinahitaji mtu kuwa makini muda wote!! Ahsante kwa picha mkuu!
   
 6. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hakuna wasssira huko mbona naona vitanda vipo tupu ?
   
 7. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  sasa walikesha bar au wapi?
   
 8. Gedeli

  Gedeli JF Gold Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 452
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  nionavyo mimi hapa Mwinyi na Membe wako bize na kusoma sms katika simu zao
   
 9. c

  collezione JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Haha, ndo maana tunaibiwa sana
   
 10. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Mwinyi yuko anachat kwenye simu. Mungu Ibariki Tanzania
   
 11. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Mbona cheche sizioni mwaya?
   
Loading...