Dr. SLAA unamanisha nini hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. SLAA unamanisha nini hapa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sr. Magdalena, Apr 27, 2012.

 1. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  The "Zanzibar Revolution" created millionaires through our own public coffers and has fueled grand corruption
  and poverty in this country - Dr. Slaa
   
 2. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Yawezekana ni kweli!!
   
 3. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hili si ndo lilivunja azimio la Arusha!
   
 4. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Kaka Bukanga,heshima mbele sana,

  Haya ni mambo mazito sana lakini naona Dr ameyaongea kwa kifupi sana nitafurahi kama akija hapa nakutupa maana kamili ya hiyo statement yake,
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Dr Slaa ni zaidi ya mwanafalsafa. God bless him.
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  He just has to say anything but he does not know what he is talking about, the person is out of it.

  The revolution was started by Nyerere. So in other words he declares that Nyerere fueled grand corruption by instigating the revolution in Zanzibar and he clearly admits that Nyerere was instrumental to our poverty. Kwi kwi kwi teh teh teh!
   
 7. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,496
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280

  Unataka maana yake au ufafanuzi wa hiyo statement. Kama ni maana nafikiri sentence iko very clear unless kama unataka tafsiri yake kwa lugha ya nyumbani. Otherwise, jaribu kum-MP Dr. Slaaa kwa vile ni member humu nafrikiri atakupa jibu la swali lako.
   
 8. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Sasa umeandika nini hapo na unajichekesha nini??

  Una hakika kwamba yeye kamaanisha Nyerere??

  Ukilaza ukizidi unatugeuza misukule wa akili!!
   
 9. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Endelea kujifariji
  Muda wenu wa kufulushwa umewadia
   
 10. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Huelewi alichoongea Dr Slaa, bora ukae kimya.
   
 11. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Maneno machungu san akwa CCM haya...
   
 12. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  This statement does not criticize nor does it say kwamba revolution ni mbaya au isingetokea, lakini inaonyesha the outcomes and not the process..

  And the outcome is according to Dr. Slaa ni kwamba Ilitumika vibaya na kutengeneza millionaires waliotuibia pesa, ikasababisha grand corruption na sababu hio hio ikaleta umasikini kwenye nchi yetu..

  Now I don't have the facts of directly linkage kutoka kwenye haya mawili lakini through that statement haimaanishi mapinduzi ya Zanzibar yasingefanyika au yalikuwa ni mabaya labda kuna watu walitumia upenyo huo kuiba na kujitajirisha
   
 13. JingalaFalsafa

  JingalaFalsafa JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 759
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  Mimi nadha aliyeandika ame-misspelling, au nami nikiri kutomuelewa Dr. katika wazo lake hilo. Je, ni Zanzibar Revolution (1964), au ni Zanzibar Resolution (1984)....? Kama ni Zanzibar Resolution, naungana na kwa zaidi ya 100%, lakini namsihi achukue hatua stahiki juu ya hilo, mimi na wewe tuwe tayari kuwa nyuma yake! Dr. Slaa, huwezi kushuhudia ustawi wa watanzania hata upigane kiasi gani, ila furaha ya mapigano yako, na iwe juu ya mtoto wako aliyezaliwa juzi kati hapo! Hautosahaulika, na utaishi hata baada ya kifo chako.
   
 14. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Kaka hapa natafuta link ya creation ya millionaires, grand corruption na umaskini, kama kuna mtu anafahamu hii kitu atujuze huku tukimtafuta Dr. Aje kutudadavulia hii statement.
   
 15. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280

  Mkuu huyu jamaa naona hata hao wanaomtumia wamemchoka.. Maana hata anachoandika hao waliomtuma wanaona ni utumbo..
   
 16. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Akili zake zote zimeamia katika masaburi!!
   
 17. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #17
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Siyo resolution kaka ni revolution, hiyo statement inamaswali mengi sana
   
 18. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Kwamba umasikini wetu umetokana na Zanzibar Revolution? Kivipi?
   
 19. bona

  bona JF-Expert Member

  #19
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  watanganyika wa ukweli hatuwaitaj wazanzibar hata kidogo, they are like virus good for nothing zaidi ya uvivu uliowajaa na watu wa fitna and yet they have the AUDACITY to accuse us eti tunawabana cjui tunawanyonya cjui kwa lipi hawana rasilimali yoyote ya maana lakini wanadai tunawanyonya hawana madini, hawana rasilimali watu(smart educated people), hawana teknolojia, hawana viwanda, hawana capital hawana chochote, nadhan chadema wangeweka issue ya kuvunja muungano ktk priority tukichukua nchi!
   
 20. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #20
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Very good our Philosopher!! See and watch what you do not want to see and watch!!
   
Loading...