Jamani hizi ni akili au matope! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani hizi ni akili au matope!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MTENGETI, Apr 27, 2012.

 1. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Wanabodi wote Salaam sana
  wiki moja tu iliyopita wabunge wetu waliwashutumu mawaziri kwa ubadhirifu mkubwa akiwemo waziri wa Kilimo ushirika Prof. Maghembe. Lakini wakati huo huo serikali ilikiri rasmi kupitia kwa nwaziri mkuu kuwa imepinda (haina fedha) sasa sikieni kioja hiki,. Jana nilishindwa kukipost kwani nilikuwa nafuatilia kwa undani mambo fulani ili nije na habari kamili.
  Baada ya matokeo ya darasa la Saba ya 2011 kutoka yaligubikwa na udanganyifu mkubwa hasa hapa Wilaya ya Mwanga ambayo kwa mara ya kwanza ilikuwa ya kwanza kimkoa ikiipita kwa mbali manispaa ya Moshi huku ikiacha watoto 315 wakifutiwa matokeo hayo.
  Jana Tarehe 26/04/2012 walimu hao waliotengeneza mazingira ya udanganyifu walipongezwa kwa kitendo hicho cha kuzalisha wajinga kwa kupelekwa hifadhi ya wanyama ya tarangire.
  LEO TAREHE 27/04/2012 SHULE KARIBU ZOTE ZA MSINGI WILAYA YA MWANGA ZIMEFUNGWA. KISA WALIMU WAMECHOKA WAMERUDI USIKU MWINGI SAA 9.00 USIKU WENGINE NDO WANAFIKA SASA HIVI(JIPE).
  fedha zilizotumika ni Tsh 48,000,000/= huku usafiri wenyewe ukitekekeza tsh 30,000,0000 ambazo wanalipwa madiwani wenye mabasi hayo (Enea Mrutu, Fihiri Mvungi na Mfanyabiashara Saidi Mssangi wa Sahara coach) huku tenderer ambaye ambaye ameidhinishwa na Tender bodi ya Halamshauri Amiri Mbaga akiwekwa pembeni na tenda hiyo haikutangazwa popote. (WAMEPEANA MADIWANI) kitu ambacho ni kinyume cha sheria madiwani kufanya Biashara na HALMSHAURI WANAZOONGOZA.
  Walimu hao ambao waliosafiri jana ni walimu 776 na wao kila siku wanalia kuwa shule hazina Chaki, karatasi na vitendea kazi vingine kama maandalio nk. walimu hao kwa sasa hivi wananunua chaki kwa fedha za mishahara yao. kwani wazazi na wanachi tunajua fika ufisadi unaofanyika Halmashauri hii hivyo hakuna mzazi aliyepo tayari kuchanga.

  kinachouma zaidi fedha hizo ni za serikali kwani zimekwapuliwa kutoka fedha za MFUKO WA JIMBO ambazo kazi yake si Entertiment . Fedha hizo ni kwa ajili ya kufanyia miradi mbali mbali ya maendeleo.
  kibaya zaidi na madiwani pia wamejiumuishwa kwenye safari hiyo ili kuziba na kuzuiya kabisa mijadala inayoweza kuibuka wakati wananchi tutakapohoji ufisadi huo.

  Profesa Maghembe ndiye alikuwa Tour Guide huko tarangire na walichokiona huko ni Mbuni tu. Hii ni safari ya pili kwani ya Kwanza ilfanyika kipindi kile cha ucahaguzi na walimu kuishia kuona Nguchiro tu.
  naomba
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kumbe mkoa ambao waziri wa elimu anakotoka ndiyo lazima iwe ya kwanza!
  Nitafuatilia hii
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Inaonekana kazi yako wewe ni kufuatilia Halmashauri ya Mwanga inavyofanya kazi, huna kazi nyingine ya kufanya? Kama siyo vibaya kuwapongeza Walimu wanapofanya vizri au wewe ndo mtoto wa aliyenyimwa tenda nni?
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  ni wakati wa wapare kuachana na ccm!tunatia aibu kuendelea kuikumbatia ccm ktk mkoa wa kilimanjaro
   
 5. H

  HisiaZAkweli Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe nawe mtoto wa diwani ama?kila mtanzania an haki.ya kufuatilia wilaya yoyote...kijiji chchte...mjinga mkubwa...kama anadanganya seme....mwehu weeee!
   
 6. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  bwana mtengeti acha wapare wapate faida ya kuikumbatia ccm.
  siku zote tunawaambia ccm ni nyoka huwa hakumbatiwi ukimwonw tu ni rungu.
   
 7. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  kama ni kweli imekula kwa MBUNGE!
   
 8. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mbunge si ndiyo tour guide mwenyewe maghembe!
   
 9. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  prof. maghembe kawa tour guide sio!!!
  vaaswi vegera soni!
   
 10. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ....kazi ipo...
  Matope hayo mkuu.
   
 11. b

  bayanda Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hv jaman mbona tunaizalilisha sana jf kias hk? sasa hebu check mtazamo wa huyu jamaa hapo juu me nafkir hawa wanapaswa waende facebook huko ndo kunawafaa. mtu katuletea taarifa tena yenye uchunguz halaf anamdiscourage huu ni upuuz usioweza kuvumilika, this z hme of great thinkers na sio hzo brabra.
   
Loading...