Mawaziri umewapakata, vipi kuhusu Ikerege?

Mjomba wa taifa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
231
161
Kufuatia kugoma kuwawajibisha Mawaziri wako mafisadi kwa kuficha aibu huku ukiangamiza taifa kwa kisingizio ya kuwa hoja imeanzishwa na wapinzani hivyo watajipatia umaaarufu, vipi kuhusu Mkurugenzi wa TBS bw. Ikerege ambaye ufisadi wake umefikishwa Bungeni na makamu mwenyekiti wa kamati ya hesabu ya mashirika ya umma ambaye ni CCM?

Acha kuchezea nchi kaka, kama hukujipanga kuongoza nchi tembea zako utuachie nchi yetu. Hii si time ya kubembelezana. We have to run while others are walking.
 
Back
Top Bottom