Nasari naona utajifunza mengi kwa Zitto

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Mkuu naona kila kona upo na Senior wako Zito,lakini unajifunza nini pale??angalia sana mdogo wangu piga kazi peke yako usikubali kujiingiza kwenye makundi ndani ya chama,nyota yako inan'gaa sana mdogo wangu,nakutakita kila heri na mafanikio kibao mbele ya safari!!!!!ni mimi mpiga kura na mlinzi wa kura zako!
 
Kama unaona kila kona wapo pamoja wewe unakuwa unafanya nini kwenye hizo kona? Fitna usiku na mchana !
 
Nassari ni jembe, anajua akifanyacho, after all Zitto alimsimamia vyema ktk uchaguzi.
 
Sasa unataka awe nan nani kila kona?? Wasira au lusindi au yule mama simba...
Dogo shikilia hapohapo chambua makapi acha chakula chukua...
 
Zito ni madini dogo usimuache kaba mpaka kivuli kwani wewe ni mbadala wa zito nazungumzia habari ya umri na nafasi pale mtakapo baki vijana hapo cdm
 
Mkuu naona kila kona upo na Senior wako Zito,lakini unajifunza nini pale??angalia sana mdogo wangu piga kazi peke yako usikubali kujiingiza kwenye makundi ndani ya chama,nyota yako inan'gaa sana mdogo wangu,nakutakita kila heri na mafanikio kibao mbele ya safari!!!!!ni mimi mpiga kura na mlinzi wa kura zako!

Ni wasiwasi wako tu, mtu mzima hachaguliwi marafiki wala maadui. Usiwaze.
 
Nassari ni jembe, anajua akifanyacho, after all Zitto alimsimamia vyema ktk uchaguzi.

Mkuu kamanda Godbless Lema alitafuta kura, alisimamia upigaji kura na alilinda kura. Alichangia sana kwa asilimia kubwa sn ushindi wa Nassari.
 
Back
Top Bottom