CCM hii siyo siri kuwa kwa sasa tumechafuka na tumechafuka kweli ukikataa kataa lakini ukweli ndio huo. Katika hali yoyote ya kuchafuka dawa huwa ni kufua au kuoga. Sasa hapa ni kuamua kusuka au...
Freeman Aikaeli Mbowe
Kichama na wapenda haki wote
Tanzania tunayo masikitiko, uzuni
na majonzi ya kuondokewa na
mwanachama wetu/ kiongozi
wetu Mwenyekiti wa Usa river bw.
MBWAMBO aliyeuwawa...
By QUALITY Taarifa toka Biharamulo zinasema kuwa hukumu ya Kesi dhidi ya Mh. Dr. Mbassa (Mbunge wa Biharamulo CDM) nayo itaanza kusomwa leo saa 7 mchana badala ya saa 5 kama ilivyopangwa awali...
Ripoti ya bunge ya serikali za mitaa imeonesha udhaifu mkubwa sana katika matumizi ya fedha na rasilimali nyingine zinazokadhiwa halmashauri. Mkuchika kama waziri alitakiwa achukue hatua stahiki...
Wakuu nimeshangazwa sana na kitendo cha mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupokelewa kwa shangwe na nderemo na wanachama wa CUF wakati alipowasili Tanga jana...
Akisoma maadhimio kumi na sita mbunge wa Ubungo Mh. John Mnyika amesema chama chake kipo njiani kuishitaki serikali kutokana na makada wake kumi na tano kuuawa na serikali kukaa kimya.
Mnyika...
Source:
TANZANIA DAIMA (Jumapili)
{www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=35396}
MWAKA jana ilipozuka hoja ya kupinga nyongeza ya posho za vikao za wabunge kutoka sh 70,000 hadi sh 200,000 kwa...
Nimesema maneno hayo nikimaanisha kwamba siyo mara ya kwanza JK anafanya mabadiliko ya baraza lake la mawaziri pasipo kuwa na tija yoyote. Nitakupeni mfano; hivi walipo ondoka akina Msabaha na...
Mbunge wa jimbo la Nkenge wilayani Misenyi, Mhe. Assumpta.M.(CCM) akimbiwa katika mkutano wa hadhara aliouitisha ktk kata ya Ishozi baada ya kushindwa kutoa majawabu kwa wananchi wa kata hiyo hasa...
Juzi nimemwona Nape kwenye luninga akiwa na vijana wanaoitwa wa chuo eti wakiandamana kuunga mkono maamuzi ya kamati kuu ya ccm kuhusu mwenyekiti wao kuwatosa baadhi ya mawaziri walioguswa na CAG...
na Happiness Katabazi
RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa, Mei 8, anatarajiwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, kutoa ushahidi wake katika kesi ya uhujumu uchumi na...
Serikali makin siku zote ni sikivu na husimamia utawala bora.Kama utawala bora ukisimamiwa ipasavyo hata mambo yaliyopo ndani ya serikali uwekwa kwa uwazi kwa wananchi walioipa dhamana.Haina haja...
WanaJF,
Ifike wakati tusiogope kuelezana ukweli tu kwa sababu tuna michakato mizito uvunguni, huo sio uzalendo na zaidi sana sio uanaharakati.
Kwa kipindi sasa nimekuwa nikiombwa kujitokeza...
Source mwananchi.
Yale aliyokuwa anazungimza Nape leo kuwa mawaziri wanalalamika kuwa iweje ccm iwawajibishe badala ya Serikali ni dhahiri baada ya Mkulo kusema hawajibiki kwa chama.
Cha ajabu...
Baada ya kichapo ipatacho toka kwa chama makini cha CDM ile serikali iliyopo pale isipo stahili kuwepo inaendelea kufuga ugonjwa kwa wale wote wahusikao na kujeruhi na kufanya mauaji ya kinyama...
212012
i
5 Votes
Ufafanuzi wa kihistoria ya kidini ya kisiasa unaojenga hoja ya Wazanzibari kuukataa Muungano, miaka karibuni 50 baada ya kuundwa kwake. Sehemu ya mihadhara...
Mimi ni mtanzania,hivyo nimeishi sehemu mbalimbali za nchi hii,lakini hata hivyo nimegundua katika taasisi za serikal ambayo inatia hofu na mashaka usoni na mioyoni mwa wananchi ni takukuru,kwa...
Kuwa Waziri au Naibu Waziri ni kazi ngumu inayohitaji umakini na massa mengi ya kufanya kazi.
Mtu anapoteuliwa kufanya kazi hiyo, anatakiwa ajue kuwa anatwishwa mzigo mkubwa.
Hali hiyo siyo ya...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Mbunge wa Viti Maalum mkoani Iringa, Chiku Abwao, ametangaza rasmi kwamba kazi ya kulitwaa Jimbo la Isimani...