Ninamashaka na takukuru kama wana Mungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninamashaka na takukuru kama wana Mungu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TEMILUGODA, May 1, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mimi ni mtanzania,hivyo nimeishi sehemu mbalimbali za nchi hii,lakini hata hivyo nimegundua katika taasisi za serikal ambayo inatia hofu na mashaka usoni na mioyoni mwa wananchi ni takukuru,kwa nini? Kwa sababu hufanya majukumu yake kwa kushinikizwa ama chuki ama maslahi ama urafiki ama rushwa.ENZI ZA MWALIMU KULIKUWA NA KIPINDI CHA MIKINGAMO AMBACHO KILIFANYA VIZURI SANA DHIDI YA UFISADI.CDM ITAKAPO KUWA IMEAPISHWA TU 2015 IHAKIKISHE INAREJESHA KIPINDI HIKI NA KUIFUTA TAKUKURU.Mwaka 2010 watoa rushwa kwenye kura za maoni na uchaguzi mkuu walikuwa wengi ajabu na si Mungai tu bali Shekifu na wengine wengi,wala haihitaji uwe na degree kujua haya yote bali wengi wa watumishi wa takukuru hawaanzi na Mungu katika kazi zao na hivyo hawatamaliza na Mungu[HOFU YA MUNGU NI KINGA YA MTUMISHI].NAPENDA NIELEWEKE SI WOTE WAKO KTK HILI,LAKINI NA HAO WASAFI WACHACHE KWA NINI WANATUMIKIA MFUMO[SYSTEM]MMBOVU?
  Inaniuma sana.NAWASILISHA.
   
Loading...