Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Manyanza, Apr 30, 2012.

 1. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [​IMG] By QUALITY [​IMG] Taarifa toka Biharamulo zinasema kuwa hukumu ya Kesi dhidi ya Mh. Dr. Mbassa (Mbunge wa Biharamulo CDM) nayo itaanza kusomwa leo saa 7 mchana badala ya saa 5 kama ilivyopangwa awali. Tutawafahamisha pia kutoka huko. Sikuona haja ya kuanzisha thread nyingine!
  Quality
   
 2. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Bora tujuzeni maana imani na mahakama hatuna.
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Hivi unafahamu wewe Manyanza kwamba ni mtu mzima!!?? sasa ni mambo gani haya unafanya?
   
 4. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu Matola, nimeamua kuiweka hapa wazi na si unaona by Quality, ilikuwa imejificha kwenye ile thread ya Hukumu ya Sumbawanga, thats so nimeamua kuiweka open hapa,kama itakua haijakidhi viwango Moderators wataiondoa
   
 5. KAUDO

  KAUDO Senior Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muda mfupi ujao Mhakama kuu kanda ya Bukoba itasoma hukumu ya kupinga ushindi wa Mbunge wa Chadema jimbo la Biharamulo Dk Anthony Mbasa,iliyofunguliwa na Oscar Rwegasira Mukasa aliyekuwa mgombea wa CCM....
   
 6. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo ni Leo kama Darby flan hivi ya CDM vs CCM
   
 7. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  kishapigwa
   
 8. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Oscar mukasa alionewa sana jamaa yule.

  Wangemchagua oscar wangepata maendeleo sana jamaa ni mtafiti mzuri na anatisha katika fani yake.

  siasa chafu ndio zilizomuangusha jamaa, watu waliikata hadi migomba yake kwa chuki ila i hope atashinda tu kesi.
   
 9. by default

  by default JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sumbawanga kishanuga magamba yanatoa mvuke
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nasikia Sumbawanga CCM chali
   
 11. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Magamba yamekatwa na Shoka tayari..

  Hizi ndizo hukumu, si rule ya dakika 5 kama arusha!!


  wacha tuhamie biharamulo sasa...
   
 12. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Any updates?
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kuna dalili dr mbasa akavuliwa ubunge.......loh
   
 14. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Sasa ubunge na utafiti wapi na wapi?? kama ni mtafiti si aendelee kufanya utafiti ili matokea ya research zake yatumike kusaidia wananchi! au bila ubunge mtu huwezi kufanya utafiti? Kazi ya utafiti inahitaji muda na umakini sana hivo kwa kumnyima ubunge walimsaidia sana aweze kujiimarisha kwenye taaluma yake!!

  Wewe ni gamba humu Jf halafu post zako hazina kichwa wala miguu mfano unasema alionewa?? alionewaje??kama anatisha kwenye fani yake aendelee kutisha anakimbilia ubunge wa nini?? Hebu tupia paper yake hata moja aliyowahi kupublish ili kuthibitisha usemi wako!!
   
 15. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280

  kwenda zako huko
   
 16. G

  Gizakuu Member

  #16
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata baada ya hukumu ya Sumbawanga?????!!!!!!??!?!!
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Amesaidia kumwanzishia thread Quality.
   
 18. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135

  Sasa kama huna imani na mahakama unataka kusikia nini? Kesi hii si iko mahakamani mkuu?
   
 19. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Leteni habari huko.
   
 20. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  Jina zuri, Avatar bomba.......lakini unachokitetea sas!!

   
Loading...