Nape unahangaika bure CCM ni sikio la kufa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape unahangaika bure CCM ni sikio la kufa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NdasheneMbandu, May 1, 2012.

 1. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Juzi nimemwona Nape kwenye luninga akiwa na vijana wanaoitwa wa chuo eti wakiandamana kuunga mkono maamuzi ya kamati kuu ya ccm kuhusu mwenyekiti wao kuwatosa baadhi ya mawaziri walioguswa na CAG na kuunda timu mpya. Nataka nimwambie Nape kwamba hiyo mbinu ya 'kuokota vijana wasio na kazi na kuwalipa posho ili waandamane na kuunga mkono maamuzi' ni ya kijinga na imepitwa na wakati. Watanzania wa leo siyo wa jana. HIVI NI MTANZANIA GANI ASIYEJUA KWAMBA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CCM YAMETOKANA NA SHINIKIZO LA BUNGE AMBALO NALO LINASUKUMWA KWA NGUVU YA CHADEMA. Nape mdogo wangu, nchi hii imebadilika. Enzi za ccm ndiyo zinayoyoma. ccm Ni sawa na sikio la kufa. Hence, usipoteze muda wako bire kuwahadaa tena wananchi.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Nape anahangaika mno! wakati wenzie wameshiba na kusaza na kuona vilio vyetu ni km kelele za fisi wakati Simba anakula mawindo yake. wale sijui wanachuo wawapi, labda chuo cha maendeleo LUNGEMBA Iringa huko hahahaha. Muda umepita wa CCM kuwa madarakani wameshindwa kuifikisha nchi ktk maendeleo lazima tuwatose na kuangalia chama chenye sera nzuri na si za wizi, kulindana vitisho na kiburi km CCM.
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ccm ina viongozi vijana machachari ambao wanaweza wakawapa vijana wa cdm a run for their money...ccm ikiweza kusafisha wale wanaokichafua chama basi ccm ni chama ambacho kinaweza kufanya mambo mengi sana...sema ndo hivo wazee walioshiba na kula mali za uma wako wengi...kuwaondoa wote si kazi ndogo
   
 4. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Unaweza kukuta mleta mada ni mwanachama au mpenzi wa kile chama ambacho hakina hata wabunge 50..! hii sina uhakika lakini nahisi tu,lakini anapata ujasiri wa kutoa kauli ya kilevi kusema enzi za ccm yenye wabunge waliochaguliwa na wananchi kila kona ya nchi hii eti ndiyo zinayoyoma,jamani kwanini hatupendi kuamini tunachokiona badala yake tumechagua kuishi kwa kuona tunachoamini tu basi??hili ni tatizo.
   
 5. k

  kiruavunjo Senior Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ccm hakunaga kiongozi hata mmoja ila kuna viyoyozi tuu. Wapuchenyi wose piu. Hakuna jipya huko.
   
 6. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Tunachoangalia watanzania kwa sasa ni TREND na siyo idadi ya wabunge ambao hata hivyo walipatikana kwa njia za wizi. Kama huamini subiri uchaguzi mwingine mdogo uone ccm itakavyogaragazwa. Itakapofika 2015 ccm kwishney!
   
 7. RUBERTS

  RUBERTS Senior Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakati mwingine inanipa shida kuamini mtu anaetetea uhalali wa CCM kama ana akili timamu. Nadhani wenye akili timamu walioko CCM wanakaa kimya tu. Hawa wanokuja hapa kuipa credit CCM, aidha wanakuja hapa wakitokea kwenye chibuku au kwenye bangi au kubwia unga, kiasi kwamba kwa ulevi walionao vichwani wanajiona wako Ulaya vile.
   
 8. H

  Honey K JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndashene mbandu
  KWANZA NAKUSHUKURU SANA KWA MAWAZO YAKO AMBAYO NAYAHESHIMU SANA! LAKINI NAOMBA NIKUHAKIKISHIE KUWA KUITETEA CCM HAIJAWA TATIZO WALA KERO KWANGU...KWA KIFUPI SANA NA ENJOY SANA KUTETEA JAMBO NINALOLIAMINI........MKAPA ALIWAHI KUSEMA MWANASIASA MZURI NI YULE MWENYE UWEZO WA KUJENGA NA KUBOMOA HOJA....

  SI VIBAYA WALA DHAMBI WE KUAMINI KUWA CCM KWASASA HAFAI NA MIMI KUAMINI KUWA HAKUNA KAMA CCM.....najua wapo watakao kereka kuwa Nape tuna mvunja moyo kila siku lakini bado anaendelea hakati tamaa ndio kwanza anachanja mbuga kusema tusichokipenda kusikia...

  Hata waeneza dini Mtume na Yesu haikuwa rahsis kwao kueneza na kusambaza dini... lakini leo dini zao zimesimama na kusambaa dunia nzima...
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,195
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kama una wabunge 259 lakini 257 wamalala ni bora uwe na wabunge 48 active vile vile mbunge mmoja wa hicho Chama ulichosema ni sawa na 50 wa magamba 48x50=2400 ili mlingane na CDM lazima muwe na wabunge 2400 kwi! Kwi! Kwi!!!!!!! Kwi
   
 10. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,674
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Naisubiri sana NEC itakayochaguliwa mwaka huu. Wazee wamezidi ulafi na kuwapiga vijana vipapai.
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,195
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  miaka 50 yote mlikuwa mnafanya nini wezi wakubwa nyinyi pelekeni usultani wenu huko vuvuzela wewe!!!!!!!
   
 12. G

  Gizakuu Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahahaaaaaaaa!!! Precise!! unatuaibisha sasa, hizo hasira tu, tumia hata masaburi basi kujibu maana ulichotumia mhhhhhh! aibu
   
 13. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanachuo wale walikuwa hawafiki 30 teh teh teh,kwi kwi kwi...............
   
 14. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  analipwa milion 12 kwa kazi hiyo.

  wanafunzi wale kumbukeni walikuwa alosto siku nyingi, hivyo walipewa vijisent kidogo vya kusukuma gurudum mbele, wakaona waandamane kwenda kwa nape.

  kwanza kuna uwezekano walip[anda mgari mpka fire, halafu wakasubiriana pale na kujifanya kuingia CCM majengo kwa mbwembwe
   
 15. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,369
  Likes Received: 3,687
  Trophy Points: 280
  Kataa ukubali, ni kero kubwa sana kumtetea anayefanya makosa yale yale kila kukicha. Naamini kinachokufanya uitetee CCM si makosa yao, BALI NINI UNAPATA BAADA YA KUITETEA. Naamini kuna wakati nafsi huwa inakusuta sana kutetea madudu yaliyo wazi. Ndiyo maana kuna mengine huwa unakaa kima kimya bila kusema kitu (eg matusi ya Lusinde). Kuna mengine kuyatetea inahitaji ujivishe akili ya MWENDAWAZIMU. Nnauye, kama wabunge 48 wanaweza kuwaendesha wabunge wa CCM, basi juwa kuna tatizo.
   
 16. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  ndiyo kazi inayokupa kula mjini wewe, huna lolote, lakini mwenyewe inakukera
   
 17. H

  Honey K JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wewe njaa inakusumbua
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nape amejivika akili za maiti! Let us ignore him completely.
   
 19. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,473
  Trophy Points: 280
  Wauza sura kwenye luninga na magazeti hao hawana jipya.
   
 20. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #20
  May 1, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,568
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Nape siasa zinakushinda sasa, njaa inamsumbua? Hebu kuwa na staha kidogo! Mwanasiasa anatumia hoja sio udhalilishaji kama uanavyofanya, kwa nini usijenge hoja tuu badala ya kutumia lugha hiyo? Unakuwa kama wahuni wa kijiweni wasio chagua neno! I thought una hekima!
   
Loading...