Mh. Freeman Mbowe atoa rambirambi juu ya kifo cha m/kiti Usa river

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Freeman Aikaeli Mbowe
Kichama na wapenda haki wote
Tanzania tunayo masikitiko, uzuni
na majonzi ya kuondokewa na
mwanachama wetu/ kiongozi
wetu Mwenyekiti wa Usa river bw.
MBWAMBO aliyeuwawa kinyama
huko mkoani Arusha, tuombe
Mungu ailaze roho ya marehemu
mahali pema, pia natoa salamu
zangu za rambirambi kwa familia
na ndugu wa marehemu kuwa
tuko pamoja nao katika kipindi
hiki kigumu.
Naomba pia nichukue nafasi hii
kuishukuru Mahakama kuu kanda
ya sumbawanga kwa kutenda
haki, baada ya kutengua ubunge
wa aliyekuwa mbunge wa Ccm
bw. Aeshi Hilali jimbo la
Sumbawanga mjini kutokana na
kugubwikwa na ukiukwaji wa
sheria za uchaguzi.
 
Freeman Aikaeli Mbowe
Kichama na wapenda haki wote
Tanzania tunayo masikitiko, uzuni
na majonzi ya kuondokewa na
mwanachama wetu/ kiongozi
wetu Mwenyekiti wa Usa river bw.
MWAMBO aliyeuwawa kinyama
huko mkoani Arusha, tuombe
Mungu ailaze roho ya marehemu
mahali pema, pia natoa salamu
zangu za rambirambi kwa familia
na ndugu wa marehemu kuwa
tuko pamoja nao katika kipindi
hiki kigumu.
Naomba pia nichukue nafasi hii
kuishukuru Mahakama kuu kanda
ya sumbawanga kwa kutenda
haki, baada ya kutengua ubunge
wa aliyekuwa mbunge wa Ccm
bw. Aeshi Hilali jimbo la
Sumbawanga mjini kutokana na
kugubwikwa na ukiukwaji wa
sheria za uchaguzi.

thanx mpiganaji,2na hasira sana hapa Meru Arusha
 
Mbowe Naomba hata nyie mkishindwa kwenye kesi basi na nyie mkubali na muache kulalamika au mkate rufaa bila lalama. CDM soliderity forever.
 
Mbowe Naomba hata nyie mkishindwa kwenye kesi basi na nyie mkubali na muache kulalamika au mkate rufaa bila lalama. CDM soliderity forever.

Nimeupenda msamiati wako. Ulimaanisha solidarity? Kwani ukiandika kiswahili pekee hueleweki?
 
Mbowe Naomba hata nyie mkishindwa kwenye kesi basi na nyie mkubali na muache kulalamika au mkate rufaa bila lalama. CDM soliderity forever.[/QUOT

Huwezi toa justification yoyote kati ya kesi hizo mbili!!

Kesi ya miezi zaidi ya miwili hawezi kuwa ruled kwa dakika 5 period!
 
Wanaochakachua ndiyo waliotii amri ya Katibu wao Mkuu kwamba yeyote ambaye atashindwa na Mpinzani aende mahakani kupinga ushindi huo, na CCM italipa gharama za kesi. Mimi nadhani, ama hawa hawaelewi maana ya demokrasia au hawaitaki demokrasia ishamiri nchini mwetu.

Tushukuru Mwenyenzi Mungu kwamba tungali na Majaji ktk Mahakama Kuu wanaoona haki ni lazima iwepo na Sumbawanga tulikuwa nae.
 
Safi mbowe kwa rambirambi yako,makamanda tunasubiri tamko toa tamko nini kifanyike kukabiriana janga hili la makusudi.
 
Tunaomba waliohusika na kifo chake wapatikane haraka! Hatutaki utani.
 
Acha unafiki, usitake kutuaminisha kuwa kila hukumu inayotolewa dhidi ya CDM ni ya haki.
Mbinu zenu tunazijua.
Forever nyoooo!!!!!
Pambaf zenu magamba!
Mbowe Naomba hata nyie mkishindwa kwenye kesi basi na nyie mkubali na muache kulalamika au mkate rufaa bila lalama. CDM soliderity forever.
 
Pole nyingi ziwaendee familia ya marehemu Mbwambo katika kipindi hiki kigumu ni jambo la kushtusha sana kuona watanzania tumegeuka wanyama kiasi hiki, ikiwa tukio hili linahusishwa na vuguvugu la kisiasa hapana budi kwa viongozi wa vyama husika kuliangalia hili kwa makini, kuitoa roho ya binadamu mwenzako kwa hisia za kisiasa ni jambo ambalo sikulitegemea kulisikia, pamoja na tofauti zetu za kisiasa sidhani kama kuuana ni suluhisho la matatizo yetu kisiasa. Mungu mlaze pahala pema ndugu yetu mtanzania mwenzetu Bw. Mbwambo.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Jamani poleni na Msiba huko Meru kuna nini? Vifo vurugu za mashamba MUNGU aepushe balaa hilo
 
Duu, Mbowe kachanganya taarifa za majonzi kuhusu msiba pamoja na kauli za pongezi za ushindi kuhusu siasa za ubunge na mahakama. Statement ya Mwenyekiti haijaenda shule.
 
Ukiwa kiongozi wa kitaifa ni lazima uongelee mambo yote kwa wakati mmoja.
Ukibakia kueongelea jambo moja tu hata kama ni sensitive kiasi gani mambe mengine ya kitaifa hayataongelewa.
Labda tu kama unaongelea mpangilio wa taarifa.

Duu, Mbowe kachanganya taarifa za majonzi kuhusu msiba pamoja na kauli za pongezi za ushindi kuhusu siasa za ubunge na mahakama. Statement ya Mwenyekiti haijaenda shule.
 
Back
Top Bottom