Simanzi pia kuanguka kwa serikali iliypo madarakani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simanzi pia kuanguka kwa serikali iliypo madarakani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MSANGU, May 1, 2012.

 1. M

  MSANGU New Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya kichapo ipatacho toka kwa chama makini cha CDM ile serikali iliyopo pale isipo stahili kuwepo inaendelea kufuga ugonjwa kwa wale wote wahusikao na kujeruhi na kufanya mauaji ya kinyama kama hayo ya jembe la CDM, basi kwa taarifa yao hizo ndizo dalili za kuaga mashindano wananchi hawapo tayari kushangilia maovu hayo hata kama wamewekwa kwenye chupa
   
 2. S

  STIDE JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ccm wameshajifia, kilichopo tuandae mazishi na wasifu!!
   
 3. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Mleta uzi hapo juu umekosea: inapaswa kusomeka kama ifuatavyo, FURAHA/SHANGWE KUANGUKA KWA CCM. Jifunze kuwa tayari na mabadiliko ya kweli. Pia anza kuwaza kama uliye na utayari wa kuhama bila kuangalia nyuma usije kuwa jiwe la chumvi. (asomaye na aelewe) please thing globally and stop thinking locally. Anyway najua ulichomaanisha ila umetumia soft language as if uta-miss exist ya CCM.
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160

  Hapo Kamanda umenena!
  Ni kile kitufe cha like ndiyo sikioni tu!
  Ntakuseach kwa PM Kamanda baada ya!
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Hapa ndio utakapo wapenda pro chadema hata Kama Uzi haujasimama. Lakini Wana CDM najua huu Uzi ni mtego kwa mashabiki wa magamba Kama wakina rejao na ritz wakiingiza mguu tu watakoma
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  watu wengi humu ndani mnasema kua ccm ishaondoka kueni na tahadhari...mnaweza kushangaa 2015 ccm inashinda tena...either kiuhalali or not...so ccm are not yet gone and they will do whatever they can to stay in power.....mue tayari kwa hilo
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  EPA, Meremeta, deep green, Kiwira Coal mine, Loliondo gate(mbuga waliyomuuzia mtoto wa mfalme wa kiarab) dah ni mengi mno yaani mpaka inaniondolea utu wangu! So 2015 wote waliohusika na hizo skendo lazima watiinge kisutu.
   
 8. M

  Makupa JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu umenena we are down but not out ,ccm forever
   
 9. M

  Makupa JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ushahidi uko wapi
   
Loading...