CCM wamemchoka Mwenyekiti wao?

Deofm

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
383
68
Wakuu nimeshangazwa sana na kitendo cha mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupokelewa kwa shangwe na nderemo na wanachama wa CUF wakati alipowasili Tanga jana kwa sherehe za Meimosi. Je Tanga hakuna wanaccm, Kama kweli hali ndiyo hiyo namshauri tu ajiuzulu, kama alivyofanya Marehemu Mutharika.

Source: issamichuzi blog
 
Itawachukua muda sana viongozi wetu wa CCM kuzisoma na kuzielewa alama zote hizi zahl nyakati.
 
Back
Top Bottom