Mawaziri Wagoma: Mkulo asema hawajibiki kamati kuu CCM, Nundu acharuka, Maige niache | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri Wagoma: Mkulo asema hawajibiki kamati kuu CCM, Nundu acharuka, Maige niache

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Apr 30, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Source mwananchi.
  Yale aliyokuwa anazungimza Nape leo kuwa mawaziri wanalalamika kuwa iweje ccm iwawajibishe badala ya Serikali ni dhahiri baada ya Mkulo kusema hawajibiki kwa chama.

  Cha ajabu zaidi kulingana na Nape mawaziri wangoma kwa sababu iweje chama kifanye maamuzi ya serikali?

  Kulingana na mahojiano yaliyomo ktk gazeti la mwananchi wanadai hawajapata taarifa zozote za CC na hawana comment.

  Mie naona kila mwana CC na CCM woote wachafu ndo maana hawa jamaa hawataki kuondoka kama Adam Malima ndo hana hata habari
   
 2. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,296
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Mkulo amechanganyakiwa kwani ameshafukuzwa tayari bado kutangaza tu. Anagoma anamgomea nani? Kwani alijiteua au aliteuliwa?
   
 3. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sasa hivi kila gazeti linavyotoka kichwa cha habari ni baraza la mawaziri......., Siri ya baraza ni .........! na vitu kama hivyo.
  Kwa kuwa sasa hivi hawana cha kuandika kwahiyo wanatafuta kuuza magazeti, washasoma upepo kwa sasa unaelekea kaskazi nao wanaelekea huko huko!
   
 4. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa ccm ya sasa hata wazee wa dsm wanaweza kufanya maamuzi,nashauri mawaziri kabla ya kukubali kuachia ngazi,wahoji kwa nini aliyewateua yeye hawajibishwi? kwana madudu wanayofanya mkulu anafahamu ndo maana aliwaambia ni upepo tu utapita
   
 5. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  oki waachwe mpaka hapo kitakaponuka wakachapwa bakora
   
 6. Mpiga Nyoka

  Mpiga Nyoka JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Wamegoma kwani ofisi za babu zao zile!! Waondoke kabla hatujadai vichwa kwenye sahani.. :frusty:
   
 7. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Mmh! Ila mawaziri wa JK wana roho ngumu, kuondoka hadi kwa tindo!
   
 8. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  nimeipenda kauli ya mkulo. Aiwezekani cc ndio imfukuze kwenye ulaji.
   
 9. I

  Ibulyu Mbiti Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingawa Mkullo simpendi tokana utendaji wake. Lakini yupo sahihi. Kwani hajawahi kutokea tangu enzi za JK wa ukweli kupata baraka za CC.

  Mwenyekiti anachemka ile mbaya, labda angekuwa ameomba baraka wakati wa uteuzi ningeona mashiko kidogo. Mbona tangu EL ajiuzuru jamaa anapwaya ?
   
 10. Mauntana

  Mauntana Member

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kazi kweli kweli
   
 11. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  .. .......Wamelewa hadi wanasahau waliingiaje hapo
   
 12. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Ndo maana Nape anapata nguvu ya kusema wao ndo wanaongoza nchii!!!
   
 13. N

  Nabwada Senior Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hehehehee Mkulooo ,wazee wa Kilosa walitutanabaisha kuwa ni M malawi hatukuwaelewa,Mkulo kwa Kiyao cha kwetu Tunduru ni......
   
 14. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mimi naona safi kama kweli wamegoma.
  Haiwezekani CC ndio itoe maamuzi, sasa hapa itamlazimu Kikwete to step in na sasa sijui atajificha kwenye mgongo wa nani.
   
 15. N

  Nabwada Senior Member

  #15
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Anawajibika kwa aliyemteua ,
   
 16. Mwitta

  Mwitta Member

  #16
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Yaani kiongozi kabisa anasema hawajibiki kwa chama ambacho ndiyo kilimchagua kuwakilisha jimbo baada ya kushinda ndiyo akapata huo uraji, leo hii hawajiki nacho. Hii nchi, mmh!
   
 17. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ukishangaa ya Musa subiri ya filauni!
   
 18. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,843
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Magamba yanasuguana. Moto unawawakia
   
 19. m

  matawi JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kwere limekua joka la kibisa yaani kupiga chini mawaziri ni kitu ya kujiuliza? Mbona kuua vitoto vya chadema kule arusha hapakuwa hata na mjadala tulishtukia tu vitoto povu mdomoni vinavuja damu?
   
 20. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Kwa hili niko na mkulo, kwani chama kushika hatamu imeanza tena? Zamani enzi hizo cc ilikuwa ina maamzi, sasa multparty
   
Loading...