Ccm hapa mwanzo mwisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm hapa mwanzo mwisho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAKUNDA, May 1, 2012.

 1. M

  MAKUNDA Senior Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM hii siyo siri kuwa kwa sasa tumechafuka na tumechafuka kweli ukikataa kataa lakini ukweli ndio huo. Katika hali yoyote ya kuchafuka dawa huwa ni kufua au kuoga. Sasa hapa ni kuamua kusuka au kunyoa kosa moja litakigharimu chama kwa kiasi ambacho hatutakuja kusahau. Ni wakati wa uchaguzi ndani ya Chama, huu ndiyo wakati wa kuuonyesha umma wa watanzania kuwa nanyi mmechoshwa na uozo uliomo ndani ya chama.
  Ukipita kila kona utakuta watu wako kwenye harakati za kupanga safu ya viongozi kuanzia viongozi wa mashina, wa matawi hadi kata lengo ni kupata wajumbe wa kuwapigia kura katika nafasi mbalimbali za wilaya, mkoa na taifa katika chama. Katika harakati hizi ni wazi hata hao wanaojulikana kuwa mafisadi wanajipanga vikali kuliko watu wengine. Nilikuwa ninaongea na Jamaa yangu mmoja kutoka huko kwa wakina Nshomile kuwa Fisadi mzoefu Nazir Karamagi amejipanga vizuri kuingia NEC kwa mfumo huo huo wa kuwanunua wapiga kura, nimesikia pia kuwa EL huyo kaishafunga mahesabu Kabisa NEC ni yake tu. Huo ni mfano mdogo tu, lakini naomba niwataadharishe wana CCM umma wa watanzania unaangalia kila kinachofanyika, fahamu hili kila jina lililona kashifa ya ufisadi au tuhuma zozote likitumbukia katika nafasi yoyote ya Uongozi wa CCM jua hapo ndipo utakuwa mwanzo Mwisho wa CCM.
  Hivi ni Mtanzania yupi ambaye utamwambia kuwa tumejisafisha wakati Karamagi, LOWASSA,NGEREJA,MALIMA,na watu wengine wa aina hiyo ni wajumbe wa NEC? Watu wa namna hiyo watoswe la sivyo matokeo ya hukumu ya nguvu ya Umma tutayaona.
   
 2. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  wacha wafu wazike wafu wao. peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Umefanya vema kusoma risala, nadhani hujui aliyekaa kwenye kile kiti unayemsomea risala ni maiti(ccm) kwa hiyo hasikiiii!!!!!!!
   
 4. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napita lakini usiwaamushe,
   
 5. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Unasafiri na basi la Reyland hamia Macopolo.
   
 6. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Unasafiri na basi la Reyland hamia Macopolo.
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  leyland cridesydel (cd) spelling check!!!!!
   
 8. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado unafanya nini huko?
   
Loading...