theophilius
Senior Member
- Nov 19, 2010
- 150
- 54
Kuna tetesi (uwezekano) kwamba, kuchelewa kutangazwa kwa baraza la Mawaziri ni ugumu uliopo kwa mamlaka ya uteuzi katika kupata watu makini, katika wizara "tata" za Madini na Uchukuzi, ambapo kati ya mawaziri wa sasa 'machachari' hawataki kubebeshwa 'kikombe hicho'
Inaelezwa 'inaonekana hata awe nani, akiwekwa kwenye wizara mfano, ya uchukuzi, kufufua ATC au TRC ni mzigo mkubwa kutokana na mazingira yanayotokana na mikataba ya kihuni iliyoingiwa huko nyuma, na kwa vyovyote atakayekubali kuingia kuchukua kiti ndani ya wizara hizo, hususani, Madini, uchukuzi, awe tayari kuzomewa kwani mabadiliko ya maana ni ndoto, especially kwa mfumo huu tulionao sasa.
My Take: Kwa waadilifu, wakubali, kwani ni katika wizara hizo 'mbaya' ambako kiongozi anaweza kufanya 'diference' na kuonesha uwezo wake tofauti na waliomtangulia. Hata asipoweza kuifanya Reli ifanye kazi katika mwaka wa kwanza, akichukua hatua ya kuwajibisha wahujumu wote na kufutilia mbali mikataba yote mibovu, na hivyo kuhakikisha yanakuwepo mazingira mazuri ya utendaji kazi, kila mtu ataona juhudi hizo na kwa hakika ndani ya muda fupi, hata kama ni miaka 2-3, matunda yataonekana.