Kikwete apokelewa na wanachama CUF badala ya CCM airport Tanga

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
Katika kile kinachooneka kama upepo kugeuka ni kitendo cha Leo Kikwete alivyopokelewa katika Uwanja wa Ndege Tanga,Ambako amekwenda kwa ajili ya Mei Mossi!Huwanja ukiwaumetawaliwa na wanachama wa CUF na bendera huku kukiwa hakuna wanachama wa CCM kama ilivyozoleka. Je hii inaashiria nini?

attachment.php

attachment.php


cuf2.jpg cuf3.jpg
Haya ndiyo yaliyojiri huko kwa wale wenye ubishi wa kuzaliwa picha hizo hapo Source:Michuzi Blog.

Mytake:CUF siyo kwamba walikuwa hawana kazi ila u can connect the dot.................................
 
Mkuu ulitegemea ccm wapatikane wapi? Sehemu nyingi sana tz hakuna hicho chama kabisa.
 
Nyie semeni tu,ila mnajua ni nini kitatokea kwa viongozi wa ccm mkoa? Maonyo kwa kwenda mbele kwani wamemtia aibu mkuu wa kaya,hawajajipanga kwa kumkaribisha rais
 
Back
Top Bottom