Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, May 2, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Leo inangojewa kwa hamu kwa CCM na CDM kwani mpaka sasa ktk kesi za kupinga ubunge CCM ineshinda mechi za Arusha (Lema) pekee na wamepigwa chini Sumbawanga, Bihalamuro na Singida na leo inaelekea CDM kuendeleza ushindi. Wakati huohuo Ubungo na Igunga zangojewa. Ifahamike wizara ya sheria imezitaka mahakama kumaliza kesi zote tarehe 4/5/2012

  Naelekea mahakamani kwa Updates zote. Kwa lugha ya Kiingereza au Kiswahili haijalishi

  FINALLY: Makongoro Mahanga kashinda kesi!

  UPDATES:
  1. Bado kesi haijaanza
  2. Hakuna speakers zilizowekwa nje kitu kinachopelekea kujua kinachoendelea ndani, walio ndani simu zimezimwa!
   
 2. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 533
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Tunakusubiri mkuu, tutakushukuru kwa updates.
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Leo Akudo Impact inapiga segerea bure kwahiyo tusubiri hiyo impact kwa mahanga itakuwaje unajua ni mbunge wangu Le mutuz ha!ha! Ha! ha! ha!
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Pamoja sana mkuu tunakutegemea kwa updates
   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Kwani na Igunga cdm ilifungua kesi?
   
 6. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mechi Tiketi bei ghali kweli,lete kitu live mkuu,Jf ground kubwa lisilotema mashabiki!
   
 7. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Mkuu rufaa ya Lema itaanza kusikiliWa lini?
   
 8. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,800
  Likes Received: 17,885
  Trophy Points: 280
  Ikyo byee mkuu, tutashindana kutoa updates, mi nitakuwa Tabora kesi ya Kashindye na Dr Uchwara Kafumu
   
 9. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Poa Okwi Mpe hi Boban na Sunzu.
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Live updates bila chenga chenga ndio tunazitaka wakuu.
   
 11. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pamoja sana wakuu.
   
 12. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunakutegemea sana ndugu, hiyo hukumu tumeisubiri sana.
   
 13. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tuko pamoja. Mahanga nilimuona jana kwenye TV akiwa mpole. Mungu tusaidie.
   
 14. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Kwenye mahakama ya rufaa hakuna cha kusikilizwa mahakama ya rufaa inapitia rufaa iliyowasilishwa! halafu wanaangalia vifungu vinavolalamikiwa na wanapitia hukumu ya mahakama kuu na ushahidi wa pande zote mbili then wana rule out hakuna cha mtu kuitwa mahakamani au kupeleka ushahidi zaidi,. huwa ni kazi ngumu kidogo maana kumbuka hii ni mahakama ya juu kabisa hivo lazima ijiridhishe kuwa sheria imefuatwa na inakuwa na majaji wawili au watatu hivo inakuwa huru zaidi! tusubiri tu watatatoa hukumu!!
   
 15. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,779
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Baada ya muda nitatoka (sign out) kwenda kumpeleka mtoto wangu shule nikifika kazini nitakuwa hewani kufuatilia kinachoendelea mahakamani...... Huku Tabora jamaa zangu wa CHADEMA wanasubiria kwa hamu kuhusu hukumu hiyo....
   
 16. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes! CDM Walifungua kesi kupinga matokeo na kesi inaanza kusikilizwa leo.
   
 17. S

  STIDE JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mnachonikera ni pale tu mnapoanzisha thread mkitoa matumaini ya updates alafu mnaishia uvunguni!!!

  LEO MWENYEWE NAPIGA MTU BANI KWA UZEMBE......OLE WENU!!!!
   
 18. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  tutakutana kwenye kiduku mkuu, pamoja sana
   
 19. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  leo tena nina kazi ya kulala bar
   
 20. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  hivi igunga nako kuna kesi tena
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...