Kwani kuna ulazima gani taarifa za habari zote kuwa saambili usiku?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwani kuna ulazima gani taarifa za habari zote kuwa saambili usiku??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by stroke, May 2, 2012.

 1. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,364
  Likes Received: 6,540
  Trophy Points: 280
  JAMANI HILI LIMEKUA LIKINIKERA muda sasa...sioni ulazima wa almost vyombo vyote vya habari kurusha matangazo ya taarifa za habari saa mbili usiku, utakuta ITV, TBC, STAR TV, na nyinginezo isipokuwa channel ten ambao ni saa moja , matangazo yao ya habari ni saa 2, wote..wadau tunakosa kuangalia habari from different sources kwa mtindo huu..kuna haja ya kuliangalia na hili pia..ili tuwe na wide sources of info..
   
Loading...