Ya kweli Haya kuhusu SERIKALI ya JK?

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Kuwa:
  1. Ukodishaji ardhi kwa wawekezaji ni chini ya 250/ kwa heka moja? hivi hii ni sheria, kanuni au nini?
  2. kuwa JK amefanya safari 325 za nje na angalau akiwa amekaa siku 4 kwa wastani sawa na siku 1300 ambazo ni sawa na miaka 3.5 akiwa nje ya nchi tangu aingie madarakani? Je kumetumika kiasi gani hapo?
  3. wanyama wetu wanasafirishwa kwa ndege tena usiku? Na bila serikali kujua?
  4. kwenye uvuvi serikali inakusanya au unafanya vibaya kimapato mpka tunazidiwa na Sudan, Zimbabwa, Malawi, Zambia,......?
Ni vyema wadau hapa tuorodheshe madadu yote ya serikali ya CCM ili angalau tuyapublishi na wale wasiofikia net waweze kupata hard copy nao wapandishe mzuka wa hasira.
5. .......
6...........
 
Nashindwa kuchangia kwa vile sina uhakika na data isipokuwa no.1 ni ya kweli maana maige alikubali mwenyewe na akaahidi serikali inaangalia upya
 
Imewanyang'anya mashimo ya tanzanite wazawa na kuwapa makaburu ambao hata kodi hawalipi,. Wanachukua bure
 
Nashindwa kuchangia kwa vile sina uhakika na data isipokuwa no.1 ni ya kweli maana maige alikubali mwenyewe na akaahidi serikali inaangalia upya

hata hilo la wanyama kutoroshwa pia huna uhakika?na madini je?una habari kua kuna viwanja vya ndege kwenye mbuga nyeti na migodi nyeti!!hao hata viwanja vya ndege hawa shei na mtu.hata pasport hawatumii kuingilia nchini,wewe gamba nini?
 
Inaumisaz sana swaiba ila nithibitishie hili la huyu jk kuu kaa nje zaidi ya siku 1000 ili niwape watu hasira kwani watanzzania wanahoji ukweli wa taarifa unayowapa. Hii nchi itabidi ndugu zangu 2015 tufanye maumuzi ya busara la sivyo tutauzwa na sisi hali ni tete . Magamba wasepe.
 
hiyo ya kusafirisha wanyama nilishasikia na pia nilishasikia kua tanzanite kutoka migodini arusha nayo pia inasafirishwa kiholela bila sheria but again hizo ni allegations inaweza isiwe ni ukweli bt kama hivi vitu ni kweli vinatokea then akina ngeleja inabidi wawe accountable coz ka ni hela daaamnnn washakula sana
 
Madudu ya serikali ya JK yapo mengi, itakuchukua zaidi ya mwezi kumaliza kuyataja. Cha muhimu hapa, wajiandae kupanda karandinga tutakapochukua nchi yetu 2015.
 
Back
Top Bottom