KAMATI KUU CCM yawafunga midomo KAMATI KUU CDM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KAMATI KUU CCM yawafunga midomo KAMATI KUU CDM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gizakuu, May 1, 2012.

 1. G

  Gizakuu Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NIMEJARIBU KUSUBIRI KWA HAMU KUBWA TAMKO LA CDM, hasa baada ya move nzuri ya kuwabana mawaziri kupitia kwa waziri mkuu bungeni wawajibike, nilitegemea kabisa baada ya CC ya CCM< kamati kuu au baraza Kuu la CDM Taifa wangekuja na mkakati wa nyongeza kwa kile walichokianzisha bungeni.... lakini kwa maajabu ya mwaka baada ya Nape kusema kilichoamualiwa na CC ya CCM CDM wakanywea kama vile wamemwagiwa maji vile... Huu ni udhaifu mkubwa katika medani ya vita... ukimpiga adui kwa kutumia silaha flani akarudi nyuma, husimami hapo unasonga mbele kwa kutumia silaha nyingine inayofaa zaidi....kitendo cha CDM kusimama na kubaki kurudia kile walichosema CCM talalila ya MFUMO ni udaifu mkubwa kwa uongozi. Au mnataka tuamini ile stori ya kuwa hamkuelewana ndani ya Kamati kuu juu ya nanai hasa mmiliki wa hoja? ( kwamba hoja ilikuwa ya Zitto tu tena kwa kupewa na wabunge wa CCM bila kuwa na baraka za Chama Zitto akaibeba??!!!
  TAFAKARI
   
 2. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ukweli ni kwamba Hoja ya kuiwajibisha serikali iliibuliwawaa na wabunge wa CCM . Zitto kama kawaida yake akadandia Hoja ya wana CCM ili kujitafutia umaarufu. Timing ya Kamati kuu ya CCM imewaacha Chadema midomo wazi. Gharma ya kudandia Hoja za Watu bila utafiti.
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Story za Abunuasi hizi
   
 4. s

  sebastian7 Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siyo kwamba wamefungwa mdomo kusema watachukua hatua kama chadema wasubiri matokeo waone kama yanakidhi viwango au laa si kujibujibu tu tumia akili bro
   
 5. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,668
  Likes Received: 17,723
  Trophy Points: 280
  Kama unataka siku yako iwe nzuri kama mimi niliyepata ufanyakazi bora na gifts kibao baaaasi badilisha uzi uwe CHADEMA yawafunga midomo CCM-Segerea
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  tumia akili yako vzuri.
   
 7. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  hivi huna taarifa ya maandamano na mikutano nchi nzima?hukumsikia mnyika au umeamua kuanzisha ubishi tu.
   
 8. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Yanasubiriwa maamuzi ya JK kwanza!!
   
 9. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Masaburi yanakuwasha uropoke eeeh?
   
 10. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  CDM hawakurupuki, wanafanya maamuzi yanayofaa kwa wakati mwafaka.. hicho ndiyo kiaifanya king'are kwa kiwango kile.

  Ndiyo Maana CCM na Serikali yao, Usalama wa Taifa wote wanawaogopa.
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Hivi taarifa ya mikutano ya Kamati kuu na baraza kuu zimetoka au bado mikutano inaendelea?

  Kuna viporo vya taarifa bado havijatolewa vilikuwa vinasubori vikao: Taarifa ya Mkutano na Rais na Taarifa juu ya uchambuzi wa wajumbe wa Tume ya Katiba.
   
 12. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  Giza kuu karibu JF... Swali la 1 .....Umetumwa au unajituma??
   
 13. mangunde

  mangunde Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  usiku mwema jamani
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Dawa ya kubwa jinga ni kuli-ignore tu.
   
 15. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jina ulilo jipa linafanana kabisa na mawazo yako
   
 16. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160

  Tehe tehe kama mlivondandia hoja ya katiba na mahakama ya kadhi. Mmepaliwa, mnaishia kukohoa ovyo tu.
  CDM ni makini sana, wanaanzisha, nyie mwaingia tu. Ona mnavohangaika, kabla hamjasettle ya kadhi, mkapigiwa katiba, bila tafakari mkaanza kucheza, katikati ya katiba, mnatakiwa mmvunje baraza la mawaziri.
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kama ccm ndo waliibua ikawaje wasilitumie bunge kuwawajibisha? Mpaka walipoona wanakaribia kuzalilika ndo wakajifanya kuweka kikao na hiyo cc yao na kufanya shikizo la zitto pasipokuwa na matakwa yao, huku mwenyekiti wa ccm akiamini ni upepo wa kisiasa na utapita. Labda nikujulishe tu kwamba kama mambo yanayofanywa na ccm ni shinikizo la cdm we fanya kufuatilia tangia baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 utapa jibu
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Labda mwanzisha thread anafikiri cdm ni wakurupukaji ktk maamuzi yao kama ilivyo kwa ccm
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ayajulid wapi huyu mkurukuji, hafuatilii jambo kabla ya kuja na uzi wake uchwara humu
   
 20. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #20
  May 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  haswaa! ACTIONS SPEAK LOUDER THAN WORDS.
   
Loading...