Kijiji kizima kujiunga na CHADEMA Jumatano hii

Dec 21, 2011
71
75
Hemwa hemwa za kukihama chama cha mapinduzi zinaendelea ambapo safari hii wananchi katika jimbo la Simanjiro wanatarajia kutangaza nia yao ya kukihama chama hicho jumatano hii.
 
Tulianza kwenye majiji kama Arusha, Mwanza, Mbeya, DSM na sasa tunamalizia na Vijijini.
uhuru wa kweli utapatikana kabla ya 2015
 
Simanjiro kuna vijiji mia moja na alobaini sasa ni kipi ambacho kinahamia au porojo zako tu hapa
 
Simanjiro kuna vijiji mia moja na alobaini sasa ni kipi ambacho kinahamia au porojo zako tu hapa

orkesmet,sendeka ana kitegauchumi chake pale cha zile nyumba kabla ya kulala unatkiwa ujaze jina kwenye kitabu,mara nyingi huwa kinaandikwa unakotoka orkesmet anakoenda orkesmet
 
Kijiji kizima.... Sasa huu mtaji wa magamba si ndio kwishnei.
 
Aisee, na bado!! NImeshawapiga mkwara kijijini (Tarafa ya Ukenyenge) kwetu wahame, nasubiri majibu ya kikao cha wanazengo ila kwa taarifa za haraka haraka zinaniambia tayari mwenyekiti wa kijijini (CCM) anamalizia kukabidhi ofisi na mambo mengine kwa mtendaji.
 
kwani wao ndio wanajua leo hicho ndio chama chao Wakaskazini.

badirisha mapingo hiyo haina mvuto, wenzio walisema CHADEMA ni waongo wa kutupwa.Leo kipo wapi hata kuvunja baraza la mawazir mwashindwa,jk kachanganyikiwa juu ya nani wa kumteua. Kila anayetaka kumteua ananuka ufisadi, kaja CHADEMA kutuomba tumemwambia atangaze hadharan nchi imemshinda ndo tutamsaidia zaid ya hapo msaada wenu hakuna.
 
Back
Top Bottom