Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau mnasemaje kuhusiana na maamuzi ya mahakama kuhusu jimbo la segerea...??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Madaraka ni dhamana tu wanayo tunukiwa viongozi ilikuwaongoza/kuwaonyesha njia kwa wale wanao waongoza.Bunge ni chombo cha uwakilishi cha wananchi kwa kuwatumia wabunge kuelezeayale yote wananchi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni kiini macho, wajumbe wameamliwa wafundishe kuhusu muungano na mambo mengine, kumbe ndio lemgo! Tuiamini hiyo tume?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NDUGU WANA BODI BAADA YA KUISOMA SHERIA YA ARDHI YA 1999, 2001 NINAKUBALIANA NA ISSA SHIVJI KAIKA KTABU CHACKE CHA "INSHA ZA MAPAMBANO YA MNYONGE CHA MWAKA 2012"(NINAWSHAURI MKINUNUE MKISOME NI...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba tujuzane hili limekaje kwa hawa viongozi wetu wa siasa? Je, Dr.Shein analipwa mafao ya ustaafu kama makamu wa raisi Muungano? Na akimaliza utumishi wa nafasi aliyonayo sasa atakawa...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Eng Rwenge, ambaye ni Waziri wa maji na umwagiliaji alitoa kauli ambayo iliyonisikitisha hadi nikajioji hivi miradi ya maendeleo ni ya Wananchi au Wakurugenzi wa Halmashauri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF, Sijui ni ipi tarehe sahihi ya tukio tajwa hapo juu hasa baada ya kupata taarifa mbili tofauti kutoka serikalini! Wakati akiahirisha Bunge lililomalizika hivi karibuni, Waziri mkuu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika kusoma magazeti na kupitia mitandao mbali mbali ya jamii kuhusu sakata la uundwaji wa baraza la mawaziri kunajitokeza ugumu wa nani atoke na nani apishe ukiondoa wale waliotajwa tangu huko...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
YAPO KULE FACEBOOK na NDUGAI anaonekana kana kwamba anawakejeli wana CDM kwa hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu katika kesi ya Kupinga matokeo ya uchaguzi jimbo la Ukonga. John Heche Mahakama kuu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wakuu, kwa kuwa JF inatukutanisha watu wengi, napendekeza wajumbe wote wa tume ya katiba wawe wanachama wa JF ili wachukue mawazo yetu kutokea hapa. tena watumie majina yao ya asili, tuwaone...
0 Reactions
3 Replies
953 Views
Kamati Kuu iliyokutana leo tarehe 27/04/2012 chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Jijini Dar es salaam, pamoja na mambo mengine imefanya yafuatayo.; A. UTEUZI Kamati Kuu...
6 Reactions
221 Replies
23K Views
Wana jf leo hapa Arusha nimesikia watu wakiongelea kukamatwa kwa watu kadhaa waliohusika na mauaji ya mwenyekiti wa chadema usa river pia panga lililotumika limekutwa ndani ya choo kwa mmoja Wa...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Wanabodi JF. Ephata Nanyaro Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) Mkoa, na Mwenyekiti wa chama hicho Arusha Mjini. Anasema namfahamu Milya, ni kijana mwenzangu lakini kwa muda wote...
3 Reactions
88 Replies
9K Views
Mimi kama kijana mwenye vision za mageuzi pia member wa jeshi kubwa CHADEMA napata wasiwasi na uchungu mkubwa juu ya hii M4C kwani naona kama vile inapikia chakula waloshiba na kuwaacha wenye njaa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
kamanda Godbless Lema ameendelea kuibomoa CCM mkoa wa Arusha leo ilikuwa zamu ya Rabia Abdallah ambae ni mjumbe wa mkutano mkuu wa mkoa UVCCM Arusha,mjumbe wa baraza la wilaya Arusha na katibu wa...
9 Reactions
120 Replies
11K Views
Gazeti la raia mwema wiki hii limeandika uvumi kuwa waziri mkuu wa sasa ameomba asifikiriwe katika baraza jipya linalotazamiwa kutangazwa siku za usoni. Kama uvumi huo utakuwa kweli basi Pinda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ikawa siku ile mbele ya Baraza la saba la kutunga haki akatokea mfuasi machachari kati ya wale wazee 323 wa Baraza akasema, "Je, hawa watajwao kati yetu hawajafanya kosa? Tazama mikono yao...
55 Reactions
112 Replies
12K Views
"Nimefurahishwa na mjadala wa uwazi ulioendelea Bungeni na kwenye kamati ya wabunge wa CCM; nafurahi kwamba azma yangu ya kuzifanya taarifa za mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali ziwe...
6 Reactions
225 Replies
16K Views
Na Francis Godwin-Iringa Wakati kesho mei 3 ni siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani ,wanahabari mkoa wa Iringa wamepanga kufanya maandamano makubwa kwa ajili ya kuadhimisha siku hiyo...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Kwa miaka mingi, wateule wa rais wa Muungano wakitokea Zanzibar basi kuhusu rushwa rais huwa hapati tabu. Sijabahatika kusikia Mzanzibar ndani ya Muungano akiwa mlarushwa kama wanavyokuwa watz...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…