Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nampenda sana mwakilishi wangu Jussa, ni kijana na msomi. lkn wakati mwengine huchangia hoja zake kwa jazaba ni kisiasa zaidi. Hafanyi utafiti na kukurupuka. Jusssa sasa amepewa jukumu la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Binafsi huwa siamini katika kulalamika, siku zote nimekuwa mfuasi mzuri sana wa kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayonizunguka! -Tanzania ni maskini. -Tanzania ujinga. umeongezeka. -Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Wana JF hivi ile sera ya viongozi kutaja mali zao ni aje? Nadhani wangeanza mmoja mmoja kutaja mali zao wiki hii ili zihakikiwe. Hi itawasaidia hapo baadaye kwani you never know. Mnasemaje...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana katika taarifa ya habari TBC 1 alikuwa akihojiwa na Mtangazaji Asha Haji kuhusu suluhu ya tatizo la Umeme Mkoa wa Ruvuma hususani Songea. Katika maswali MATANO aliyoulizwa kashindwa kujibu...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Pamoja na changamoto nyingi ambazo zinawasubiri katika sekta walizochaguliwa kuzisimamia, hasa ukizingatia mchwa walikuwa wamezichakaza sana, ni vyema wakati wote wakumbuke waliingiaje katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naibu katibu mkuu wa CCM John Chiligati ameshutumu tabia ya vyombo vya habari kushupalia suala la wanachama wanaotoka CCM kwenda kujiunga na CDM. Chiligati ameshauri vyombo vya habari kuandika...
1 Reactions
105 Replies
9K Views
Nimevutiwa na hii habari iliyo kwenye Swahili Time Blog. sikuwa na habari kabisa kuwa hata watu wa ubalozini walikuwa wananyanyaswa. Ni kweli huyo dada anavyosema kuwa sisi tumesahau shida...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
nawakumbusa Napoleon aliposema:dunia inateseka si kwa sababu ya maovu ya watu wabaya bali ni kwa sababu ya ukimya wa watu wema.nimesema hayo kuwakumbusha jinsi lowasa alivyoikang richmond na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu Watanzania wenzangu. Jambo lisipingika kuwa hoja ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar imo mawazoni mwetu karibu kila siku. Mara Watanganyika wanalalamika na mara nyingi sana Wazanzibari...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
We don't want to create a very dangerous precedence in the future: Ngoja niwaambie kitu- hekima inataka 'to err on the side of caution'. Hii ina maana ya kwamba kwa vile kuna utata basi la...
7 Reactions
211 Replies
12K Views
Maslahi ya taifa ni nini basi? ni kwa CCM kuondolewa madarakani na sera na mifuko yake iliyotufikisha hapa kuvunjwavunjwa na kutupiliwa mbali kwenye shimo la usahaulifu la historia. SIYO...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais ameonyesha ukomavu kisiasa. Wapinzani wako represented kwenye Bunge, na wapo miongoni mwa Watanzania. Ili Rais awe rational, ni vyema akateua mbunge/wabunge kutoka kambi ya upinzani. Aidha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mara nyingi CCM imeshindwa kufanya uchaguzi au maamuzi sahihi ya kuongoza nchi hii, na hivyo hivyo kuonesha kila dalili za kuchokwa na hatimayae kufa. Na nafasi yake inachukuliwa na CHADEMA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watanznia tuamke
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Kila viongozi na wanachama wa Chadema wanapokamatwa na polisi, umaarufu wa CDM unaongezeka, huku CCM ikiporomoka. Viongozi wakuu wa Polisi wanalijua hili. Kwa nini wanaliendeleza? Kuwakamata...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
← PreviousPosted on May 7, 2012 by zanzibaryetu Kiongozi wa kikundi kinachopigania kuwepo kura ya maoni kuhusu Muungano, Rashid Salum Adiy akiwatuliwa wafuasi wake ambao hawapo pichani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kikwete amemteua mbatia aende bungeni akafanye kazi maalum ya kuharibu upinzani. Wabunge vijana wa NCCR mageuzi walikuwa wanafanya kazi nzuri kama wabunge waupinzani na walishaanza kujenga...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo tar 07/05/2012 mb wa viti maalum kamanda Ester Matiko amefanya mkutano wa hadhara Nyamongo Tarime kwenye mgodi wa North Mara na kuzungumzia masuala mbalimbali juu ya manyanyaso ya mgodi kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tanzania (mama), when did you cease to be a home You have just remained a house (?) When really were you a home? Era and era have passed Your beauty had and has become your fate Greedy 'men'...
1 Reactions
3 Replies
896 Views
Sababu hizi ndio msingi wa kauli yangu:- (1)Wimbi la wanachama wa ccm kuhamia chadema. Hii ni ishara mbaya ya kutokuwa na imani na chama na kukata tamaa. (2)Mabadiliko ya mara kwa mara ya baraza...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…