Mawaziri lini watataja mali zao?

Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,598
435
Wana JF hivi ile sera ya viongozi kutaja mali zao ni aje?
Nadhani wangeanza mmoja mmoja kutaja mali zao wiki hii ili zihakikiwe. Hi itawasaidia hapo baadaye kwani you never know.
Mnasemaje wandugu?:flypig:
 
Wana JF hivi ile sera ya viongozi kutaja mali zao ni aje?
Nadhani wangeanza mmoja mmoja kutaja mali zao wiki hii ili zihakikiwe. Hi itawasaidia hapo baadaye kwani you never know.
Mnasemaje wandugu?:flypig:

Mkuu usijali watataja tu, sheria ya maadili inawataka viongozi wataje mali zao ndani ya siku 30 baada ya kushika nyadhifa/madaraka. kwa hiyo mkuu aanza kuesabu kuanzia leo baada ya hapo kajiridhishe kwa kamishna wa maadili kwa kulipia sh 1000 ujue wamejaza nini.
 
mkuu usijali watataja tu, sheria ya maadili inawataka viongozi wataje mali zao ndani ya siku 30 baada ya kushika nyadhifa/madaraka. Kwa hiyo mkuu aanza kuesabu kuanzia leo baada ya hapo kajiridhishe kwa kamishna wa maadili kwa kulipia sh 1000 ujue wamejaza nini.

shukrani
 
Jamani wengine mko wapi? Mali huwa zinatajwa kwenye Tamko kila mwaka kabla ya 31/Dec na kupelekwa Tume ya Maadili ya viongozi. Kama utahitaji kuona mali ya Kiongozi yeyote fika pale upo utaratibu wa wewe kuweza kuona hizo mali za Kiongozi unaemtaka.
 
Ingependeza kabla ya waziri kuapishwa,ataje mali zake.
 
Back
Top Bottom