lowasa hastahili adhabu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

lowasa hastahili adhabu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rose Mayemba, May 8, 2012.

 1. R

  Rose Mayemba Verified User

  #1
  May 8, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  nawakumbusa Napoleon aliposema:dunia inateseka si kwa sababu ya maovu ya watu wabaya bali ni kwa sababu ya ukimya wa watu wema.nimesema hayo kuwakumbusha jinsi lowasa alivyoikang richmond na kusema ile ni ya swaiba mwenyewe. je hapo nani tumnyonge? panya ni panya tu kama alivyosema mch msigwa,hawezi kuona mwenzie anashiba yeye anaangalia huo ni uongo.
   
 2. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Rose mayemba, Mungu akitujalia uzima katika lifetime yetu tutashuhudia viongozi wezi na waliofanya mamlaka ya ofisi za umma waliyopewa ni sehemu za kupractice uhuni wanafikishwa mahakamani na wanaadhibiwa.iwe ulikuwa tarishi kwenye dili,iwe ulipewa dola laki ngapi ufikishe hukufkisha,uwe ulikuwa kuwadi wa soko huria na wawekezaji uchwara,uwe ndo ulikuwa muuaji wa akina steve biko wa tanganyika na wengine wa hulka hiyo. Suala la Rais mstaaf mzee Mkapa kwenda kutoa ushahidi wa dr. Costa ni mwanzo mzuri,kesho atakwenda kwa 'lakwake mwenyewe'(kiwira?meremeta? etc) na richmond zitafuata. Time has never been our friend but time will tell...
   
Loading...