Hapa naona mwakilishi wangu jussa ladu na wenziwe watapoumbuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapa naona mwakilishi wangu jussa ladu na wenziwe watapoumbuka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, May 8, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Nampenda sana mwakilishi wangu Jussa, ni kijana na msomi. lkn wakati mwengine huchangia hoja zake kwa jazaba ni kisiasa zaidi. Hafanyi utafiti na kukurupuka.

  Jusssa sasa amepewa jukumu la Kumchunguza Mkurugenzi wa manispaa ya zanzibar Rashid Ali juma kwa kosa la Ubadhirifu wa fedha na Upendeleo wa Ajira

  YALIOTOKEA

  Jussa na kundi lake wana maslahi binafsi ndani ya Baraza hilo kwa kipindi kirefu. baada ya mabadilko ya uongozi mirija yao imefungwa na sasa wameamua kupambana na mkurugenzi huyu

  Upi ugomvi wa kimaslahi kati ya Manispaa , Mwakilishi wa Kitopieee na Kampuni ya Zanteli? Jee Jussa utachunguza hili?
  Nani wadaiwa sugu katika Manispaa ya Zanzibar: Jussa humo? na kama umo utaandika?
  Nani anaongoza kupeleka Vimemo vya ajira kwa wakuu wa manispaa? Jee Jussa utaandika ktk ripotiyako?

  Jee mmejipanga kumuhoji mkurugenzi huyo? mtaandika kila anachosema au mtaaishia kuandika ripoti Mbovu nayoficha aibu yenu?
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Jussa heshima mbele ukiwa mkweli na muwazi ktk ripoti yako
   
Loading...