Ushauri kwa mawaziri wapya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa mawaziri wapya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njoka Ereguu, May 8, 2012.

 1. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Pamoja na changamoto nyingi ambazo zinawasubiri katika sekta walizochaguliwa kuzisimamia, hasa ukizingatia mchwa walikuwa wamezichakaza sana, ni vyema wakati wote wakumbuke waliingiaje katika nafasi walizonazo, wakumbuke kuwa sababu kuu ilikuwa ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi. Hivyo siku zote na muda wote ili wajijengee heshima zao katika jamii na katika sekta ya siasa za Tanzania ni lazima wakumbuke jukumu lao kubwa ni kufuatilia na kubaini na kuziba mianya ana mashimo yote ya mchwa wa fedha za umma " they should focus in Hammering Westiful Spending of Scarce Goverment Money First" this should be the priority to all Ministers and Deputy Ministers.

  Contray to that their days in the cabinet are numbered, wale walioodolewa wanawawinda kwa udi na uvumba.

  I submit.
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Si hayo tu, bali tofauti ionekane pia kwa mwananchi wa kawaida kabisa anaeguswa moja kwa moja na hali ngumu ya maisha.
   
Loading...